Wednesday, July 11, 2018

WAZIRI KALEMANI AZINDUA MRADI WA UMEME VIJIJINI - REA III KATIKA VIJIJI 149 KIGOMA

WAZIRI KALEMANI AZINDUA MRADI WA UMEME VIJIJINI - REA III KATIKA VIJIJI 149 KIGOMA

Waziri wa Nishati Medadi Kalemani amewaagiza wasimamizi wa mradi wa umeme Vijijini REA pamoja na TANESCO kuanzisha madawati ya kutoa hudu...
MFAHAMU SAMUEL UMTITI MCHEZAJI ALIYEIVUSHA UFARANSA HADI  FAINALI KOMBE LA DUNIA 2018

MFAHAMU SAMUEL UMTITI MCHEZAJI ALIYEIVUSHA UFARANSA HADI FAINALI KOMBE LA DUNIA 2018

Haki miliki ya picha GETTY IMAGES Ufaransa watakutana na mshindi kati ya England na Croatia kwenye fainali ya Kombe la Dunia nchini Urusi...
MAAFISA WA POLISI WAAMURIWA KUPUNGUZA VITAMBI LA SIVYO WAFUKUZWE KAZI

MAAFISA WA POLISI WAAMURIWA KUPUNGUZA VITAMBI LA SIVYO WAFUKUZWE KAZI

Idara ya polisi nchini India imewaamuru maafisa wake kupunguza uzito vinginevyo watasimamishwa kazi.
WAVULANA WOTE 12 NA KOCHA WAO WALIONASA PANGONI WAOKOLEWA

WAVULANA WOTE 12 NA KOCHA WAO WALIONASA PANGONI WAOKOLEWA

Wavulana 12 wa timu ya soka Thailand na kocha wao wameokolewa salama kutoka ndani ya pango walimokuwa wamekwama kwa siku 17 kaskazini mwa...

Tuesday, July 10, 2018

UFARANSA YATINGA  FAINALI KOMBE LA DUNIA

UFARANSA YATINGA FAINALI KOMBE LA DUNIA

Wachezaji wa Ufaransa wakifurahia baada ya mechi kumalizika.
MKE WA EPHRAIM KIBONDE AFARIKI DUNIA

MKE WA EPHRAIM KIBONDE AFARIKI DUNIA

Mke wa Mtangazaji wa Clouds FM katika kipindi cha Jahazi, Ephraim Kibonde anayejulikana kwa jina la Sara Kibonde amefariki dunia.
RONALDO AACHA NAMBA ZA MAAJABU REAL MADRID

RONALDO AACHA NAMBA ZA MAAJABU REAL MADRID

Cristiano Ronaldo Jioni ya leo Julai 10, imeacha historia kubwa katika soka ikirudisha dunia nyuma miaka 9 iliyopita, ambapo Ronald...
CCM YAMTEUA CHRISTOPHER CHIZA KUGOMBEA UBUNGE BUYUNGU

CCM YAMTEUA CHRISTOPHER CHIZA KUGOMBEA UBUNGE BUYUNGU

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimemteua Christopher Kajoro Chiza (pichani) kuwa Mgombea wake wa Ubunge katika uchaguzi mdogo utakaofanyika ka...
KIKOSI CHA KUDHIBITI UNUNUZI HOLELA  NA UTOROSHAJI MAZAO CHAKAMATA MALORI 14 KILWA

KIKOSI CHA KUDHIBITI UNUNUZI HOLELA NA UTOROSHAJI MAZAO CHAKAMATA MALORI 14 KILWA

Jitihada za kikosi kazi maalumu cha kudhibiti utoroshaji na ununuzi holela mazao ya kilimo cha wilaya ya Kilwa mkoa wa Lindi,zimefaniki...
JUMIA YARAHISISHA MANUNUZI SABA SABA JIJINI DAR ES SALAAM

JUMIA YARAHISISHA MANUNUZI SABA SABA JIJINI DAR ES SALAAM

Na Jumia Tanzania Wateja wanaoshiriki katika Maonyesho ya 42 ya Kimataifa ya Kibiashara ya Sabasaba mwaka 2018 wamerahisishiwa ku...
NAIBU WAZIRI WA NISHATI AZINDUA MRADI WA UMEME VIJIJINI REAIII MOROGORO

NAIBU WAZIRI WA NISHATI AZINDUA MRADI WA UMEME VIJIJINI REAIII MOROGORO

Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Subira Mgalu, na viongozi wengine wa Wilaya ya Kilosa Mkoani Morogoro, akikata utepe kuashiria uzinduzi w...
KAMATI YA BUNGE YA MIUNDOMBINU YATEMBELEA MITAMBO YA MKONGO WA TAIFA

KAMATI YA BUNGE YA MIUNDOMBINU YATEMBELEA MITAMBO YA MKONGO WA TAIFA

Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Mawasiliano), Dkt. Maria Sasabo (Wa tatu kulia), akiwaelekeza jambo ...
VIONGOZI TAMUFO WAKUTANA NA MAOFISA WA KAMPUNI YA DIGISPICE NAIROBI NCHINI KENYA

VIONGOZI TAMUFO WAKUTANA NA MAOFISA WA KAMPUNI YA DIGISPICE NAIROBI NCHINI KENYA

Rais wa Umoja wa Wanamuzi Tanzania (TAMUFO), Dk.Donald Kisanga akiwa na mmoja wa maofisa waandamizi wa DiGiSPICE Company East Africa N...
DC ARUSHA ALIMWAGIA SIFA SHIRIKA LA FOUNDATION FOR TOMORROW

DC ARUSHA ALIMWAGIA SIFA SHIRIKA LA FOUNDATION FOR TOMORROW

Mkuu wa wilaya ya Arusha Gabriel Daqarro amelipongeza shirika la Foundation For Tomorrow kwa kazi nzuri wanayoifanya katika kuhamasish...
HAKIMU KESI YA VIGOGO WA CHADEMA AGOMA KUJITOA 'HAWANA MASHIKO KUNIKATAA KWA SABABU ZA AJABU AJABU

HAKIMU KESI YA VIGOGO WA CHADEMA AGOMA KUJITOA 'HAWANA MASHIKO KUNIKATAA KWA SABABU ZA AJABU AJABU

Hakimu Mkazi Mkuu wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Wilbard Mashauri anayesikiliza kesi inayowakabili viongozi tisa wa Chadema akiwamo ...
MADIWANI WATATU WA CUF WAVULIWA UDIWANI TANGA

MADIWANI WATATU WA CUF WAVULIWA UDIWANI TANGA

Chama cha Wananchi (CUF), jijini Tanga kimewavua uanachama madiwani watatu wakiwamo wawili wa Viti Maalumu na mmoja wa Kata ya Mwanzange....