Tuesday, May 15, 2018

PINGAMIZI KESI YA UCHOCHEZI YA VIGOGO WA CHADEMA LATUPILIWA MBALI

PINGAMIZI KESI YA UCHOCHEZI YA VIGOGO WA CHADEMA LATUPILIWA MBALI

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imetupilia mbali pingamizi la awali la upande wa utetezi katika kesi ya uchochezi inayowakabili viongozi...
LULU AANZA ADHABU KWA KUFANYA USAFI OFISI ZA WIZARA YA MAMBO YA NDANI

LULU AANZA ADHABU KWA KUFANYA USAFI OFISI ZA WIZARA YA MAMBO YA NDANI

Mwigizaji Elizabeth Michael maarufu Lulu ameanza kutumikia kifungo chake cha nje kwa kufanya usafi katika ofisi za Wizara ya Mambo ya N...
RAIS MAGUFULI 'AMKAZIA' KIJANA ALIYEOMBA NAULI..AMTAKA AKALIME

RAIS MAGUFULI 'AMKAZIA' KIJANA ALIYEOMBA NAULI..AMTAKA AKALIME

Rais John Magufuli amemnyima fedha kijana mmoja aliyemuomba kiongozi mkuu huyo wa nchi nauli, wakati alipokwenda kwa mamantilie eneo la ...
WADAIWA SUGU WA JWTZ WAANIKWA

WADAIWA SUGU WA JWTZ WAANIKWA

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Nchini, Jenerali Venance Mabeyo. ** BUNGE limeanika majina ya taasisi za serikali zinazodaiwa mabilioni y...
DAWA YA KUTIBU UPARA YAPATIKANA...SASA WENYE UPARA KUCHEKELEA

DAWA YA KUTIBU UPARA YAPATIKANA...SASA WENYE UPARA KUCHEKELEA

Dawa ya kutibu upara imegunduliwa ambayo inatumia dawa ya kutibu mifupa iliyodhoofika.
RAIS MAGUFULI AIBUKIA BANDARINI KUMALIZA UTATA WA MAFUTA KUADIMIKA MTAANI

RAIS MAGUFULI AIBUKIA BANDARINI KUMALIZA UTATA WA MAFUTA KUADIMIKA MTAANI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, leo amefanya ziara ya kushtukiza bandarini jijini Dar es salaam kukagua...
WANAFUNZI WAFA MAJI BAADA YA KIVUKO KUZAMA PWANI

WANAFUNZI WAFA MAJI BAADA YA KIVUKO KUZAMA PWANI

Wanafunzi wawili wamekufa maji baada ya kivuko walichokuwa wakitumia kuzama katika eneo la Chulwi wilayani Mkuranga mkoani Pwani, huku wa...
RC KIGOMA AKABIDHI  VYOO  VYA KISASA, ATOA TAHADHARI KWA WAKUU WA WILAYA

RC KIGOMA AKABIDHI VYOO VYA KISASA, ATOA TAHADHARI KWA WAKUU WA WILAYA

Mkuu wa mkoa wa Kigoma Brigedia jenerali Emmanuel Maganga, amewataka wakuu wa wilaya, watendaji na watumishi wa idara ya afya kuhakiki...
HARBINDER SETH AVULIWA UKURUGENZI WA IPL AKIWA MAHABUSU

HARBINDER SETH AVULIWA UKURUGENZI WA IPL AKIWA MAHABUSU

Huku akikabiliwa na mashtaka 12 ya uhujumu uchumi, Harbinder Sing Sethi ameondolewa katika orodha ya wakurugenzi wa kampuni ya kufua umem...

Monday, May 14, 2018

MAMA KANUMBA HAJARIDHIKA LULU KURUDI MTAANI....KAPATA HADI PRESHA

MAMA KANUMBA HAJARIDHIKA LULU KURUDI MTAANI....KAPATA HADI PRESHA

Siku mbili tangu alipoachiwa muigizaji Elizabeth Michael ’Lulu’, mama wa marehemu Steven Kanumba, Flora Mtegoa amesema ameumia na tangu...
MBOGO AJERUHI WATU WATANO ROMBO

MBOGO AJERUHI WATU WATANO ROMBO

Watu watano, wakazi wa Kata ya Kirongo, wilayani Rombo, Kilimanjaro wamelazwa hospitali baada ya kujeruhiwa na mbogo anayesadikiwa kutoka...
WAPINZANI WA YANGA WATUA BONGO

WAPINZANI WA YANGA WATUA BONGO

Wapinzani wa Yanga SC katika mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika, Rayon Sport ya Rwanda wamewasili mchana wa leo Mei 14, 2018 tayari kwa...
ABDUL NONDO AMKATAA HAKIMU

ABDUL NONDO AMKATAA HAKIMU

Mshtakiwa katika kesi ya kujiteka na kusambaza taarifa za uongo katika mitandao ya kijamii, Abdul Nondo ameandika barua ya kumkataa Hakimu ...
RAIS MAGUFULI AMEFANYA UTEUZI HUU LEO MEI 14

RAIS MAGUFULI AMEFANYA UTEUZI HUU LEO MEI 14

Rais wa Jamnhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli amemteua Prof. Siza Donald Tumbo kuwa mwenyekiti wa Bodi ya Utawala ya C...
Picha : DC MUSOMA AZINDUA RASMI SHINDANO LA MISS MARA 2018

Picha : DC MUSOMA AZINDUA RASMI SHINDANO LA MISS MARA 2018

Mkuu wa wilaya ya Musoma, Dk. Vicent Naano amezindua rasmi  Shindano la kumtafuta mrembo wa mkoa wa Mara " Miss Mara 2018" lina...
DC SHINYANGA AFUNGUA WARSHA YA MASUALA YA JINSIA KWA WALIMU ILIYOANDALIWA NA CHUO KIKUU HURIA CHA TANZANIA

DC SHINYANGA AFUNGUA WARSHA YA MASUALA YA JINSIA KWA WALIMU ILIYOANDALIWA NA CHUO KIKUU HURIA CHA TANZANIA

Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Mheshimiwa Josephine Matiro amefungua warsha maalumu kwa walimu wa shule za msingi na sekondari zilizopo kati...
MWANDISHI WA HABARI ATEKWA,ATESWA KISHA KUPIGWA PICHA ZA UCHI ARUSHA

MWANDISHI WA HABARI ATEKWA,ATESWA KISHA KUPIGWA PICHA ZA UCHI ARUSHA

Mwandishi wa habari wa kujitegemea jijini Arusha, Lucas Muyovera amenusurika kuuawa kwa kipigo baada ya kutekwa na watu wasiojulikana u...
KAULI YA STEVE NYERERE BAADA YA LULU KUTOLEWA GEREZANI

KAULI YA STEVE NYERERE BAADA YA LULU KUTOLEWA GEREZANI

Taarifa za muigizaji maarufu nchini Elizabeth Michael”Lulu” kuachiwa huru siku ya leo Mei 14,2018 zimewafurahisha wengi baada ya kubadilish...
TAARIFA RASMI YA JESHI LA MAGEREZA LULU KUACHIWA KUTOKA GEREZANI

TAARIFA RASMI YA JESHI LA MAGEREZA LULU KUACHIWA KUTOKA GEREZANI

DR SLAA AFUNGUKA KUHUSU TRILIONI 1.5

DR SLAA AFUNGUKA KUHUSU TRILIONI 1.5

Aliyewahi kuwa Katibu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dkt. Wilbroad Slaa ambaye sasa ni Balozi wa Tanzania nchini Sweden ...
MKUU WA WILAYA AIBIWA GARI NYUMBANI KWAKE WALINZI WAKIWEPO

MKUU WA WILAYA AIBIWA GARI NYUMBANI KWAKE WALINZI WAKIWEPO

Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Felix Lyaviva, ameibiwa gari lake na watu wanaosadikiwa majambazi, nyumbani kwake Toangoma, jijini Dar es Salaa...
Mapenzi huota Popote!! NDOA YA AINA YAKE YAFUNGWA LINDI

Mapenzi huota Popote!! NDOA YA AINA YAKE YAFUNGWA LINDI

Bahati Ramadhani akiwa amembeba mumewe Jivunie Mbunda katika harusi yao iliyofanyika mwishoni mwa wiki. Picha na Jackline Masinde  ...
KILIMANJARO BIA YA TANZANIA KINYWAJI RASMI KOMBE LA DUNIA 2018 NCHINI URUSI

KILIMANJARO BIA YA TANZANIA KINYWAJI RASMI KOMBE LA DUNIA 2018 NCHINI URUSI

Meneja wa kiwanda cha Ilala, Calvin Martin na Meneja Masoko George Kavishe, wakiongoza wageni waliohudhuria hafla ya uzinduzi wa promos...
Breaking : LULU ATOLEWA GEREZANI

Breaking : LULU ATOLEWA GEREZANI

Habari njema kwa wapenzi na mashabiki wa Muigizaji Elizabeth Michael, maarufu Lulu leo Jumatatu Mei 14,2018 ni kwamba mrembo huyo ameb...