Showing posts with label siasa. Show all posts
Showing posts with label siasa. Show all posts

Friday, November 16, 2018

MUSWADA WA MAREKEBISHO YA VYAMA VYA SIASA WASOMWA KWA MARA YA KWANZA BUNGENI

MUSWADA WA MAREKEBISHO YA VYAMA VYA SIASA WASOMWA KWA MARA YA KWANZA BUNGENI

Muswada wa Marekebisho ya Vyama vya Siasa wa mwaka wa fedha 2018 umesomwa kwa mara ya kwanza bungeni leo Ijumaa Novemba 16, 2018.
CUF WATOA TAMKO BAADA YA MBUNGE WAO ABDALLAH MTOLEA KUHAMIA CCM

CUF WATOA TAMKO BAADA YA MBUNGE WAO ABDALLAH MTOLEA KUHAMIA CCM

Mkurugenzi wa Habari wa Chama cha Wananchi (CUF), Abdul Kambaya amesema hamahama ya ya wabunge na madiwani wa upinzani kwenda Chama cha M...
MBUNGE WA CHADEMA ATOLEWA BUNGENI...MARUFUKU KUHUDHURIA VIKAO HADI MWAKANI

MBUNGE WA CHADEMA ATOLEWA BUNGENI...MARUFUKU KUHUDHURIA VIKAO HADI MWAKANI

Spika wa Bunge, Job Ndugai jana alimtoa nje ya bunge, Mbunge wa Mlimba, Suzan Kiwanga (Chadema) na kumtaka kutohudhuria vikao vya bunge h...
MBUNGE WA CUF ALIYEJIUZULU BUNGENI AOMBA KUJIUNGA CCM

MBUNGE WA CUF ALIYEJIUZULU BUNGENI AOMBA KUJIUNGA CCM

Jana Novemba 15, aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Temeke kwa tiketi ya Chama cha CUF Abdalah Mtolea alijivua uanachama wa CUF na kujiuzuru Ub...

Thursday, November 15, 2018

Breaking : ABDALLAH MTOLEA AJIUZULU UBUNGE NA NYADHIFA ZOTE CUF

Breaking : ABDALLAH MTOLEA AJIUZULU UBUNGE NA NYADHIFA ZOTE CUF

Mbunge wa Temeke, Abdallah Mtolea (CUF), ametangaza kujivua unachama wa chama chake na kujiuzulu ubunge, akitaja sababu kuwa ni mgo...