MALUNDE 1 BLOG - shinyanga MALUNDE 1 BLOG: shinyanga - All Post
Showing posts with label shinyanga. Show all posts
Showing posts with label shinyanga. Show all posts

Saturday, October 5, 2019

Picha : DC MBONEKO AONGOZA WADAU KUSHEREHEKEA SIKU YA WAZEE KWA KUTOA MSAADA WA MAHITAJI KITUO CHA WAZEE BUSANDA

Picha : DC MBONEKO AONGOZA WADAU KUSHEREHEKEA SIKU YA WAZEE KWA KUTOA MSAADA WA MAHITAJI KITUO CHA WAZEE BUSANDA

Wadau wa Maendeleo wakiongozwa na Mkuu wa wilaya ya Shinyanga,Mhe. Jasinta Mboneko wamesherehekea Siku ya Wazee Duniani kwa kutoa msaada...

Friday, October 4, 2019

MBUNGE AZZA ATOA MSAADA WA TANKI LA MAJI KWA AJILI YA CHOO CHA WANAFUNZI WA KIKE SHULE YA SEKONDARI SAMUYE

MBUNGE AZZA ATOA MSAADA WA TANKI LA MAJI KWA AJILI YA CHOO CHA WANAFUNZI WA KIKE SHULE YA SEKONDARI SAMUYE

Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Shinyanga Mhe. Azza Hilal Hamad (CCM) ametoa msaada wa tanki la maji lenye ujazo wa lita 2000 kwa  ajili ya ...

Thursday, October 3, 2019

MBUNGE AZZA ATOA ZAWADI YA KOMPYUTA KUWAPA MOTISHA WALIMU SHULE YA SEKONDARI OLD SHINYANGA

MBUNGE AZZA ATOA ZAWADI YA KOMPYUTA KUWAPA MOTISHA WALIMU SHULE YA SEKONDARI OLD SHINYANGA

Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Shinyanga,Mhe. Azza Hilal Hamad (CCM) ametoa zawadi ya Kompyuta katika shule ya Sekondari Old Shinyanga ili...
MBUNGE AZZA HILAL ACHANGIA MASINKI YA VYOO SHULE YA MSINGI ILOLA

MBUNGE AZZA HILAL ACHANGIA MASINKI YA VYOO SHULE YA MSINGI ILOLA

Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Shinyanga,Mhe. Azza Hilal Hamad amechangia masinki 11 ya vyoo ili kumaliza changamoto ya upungufu wa vyoo k...
MTUMISHI WA AFYA AJINYONGA KWA WAYA JUU YA MTI KAHAMA

MTUMISHI WA AFYA AJINYONGA KWA WAYA JUU YA MTI KAHAMA

Mtumishi wa afya kituo cha afya Ushetu wilayani Kahama,Moses Amasha Mbilinyi (26) amefariki dunia kwa kunyonga kwa kutumia waya wa Extens...

Wednesday, October 2, 2019

Bashe Awataka Maafisa Ugani Kutumia Fomu Maalum Kukusanya Taarifa Za Wakulima

Bashe Awataka Maafisa Ugani Kutumia Fomu Maalum Kukusanya Taarifa Za Wakulima

Na Bashiri Salum,Wizara ya kilimo-Shinyanga Naibu Waziri wa Wizara ya Kilimo Mhe. Husseni Bashe jana 01.10.2019 amemkabidhi Mkuu wa...

Tuesday, October 1, 2019

Breaking : BASI LA ALLY'S STAR LAUA AFISA WA MANISPAA YA SHINYANGA

Breaking : BASI LA ALLY'S STAR LAUA AFISA WA MANISPAA YA SHINYANGA

Mhoja Mambosasa enzi za uhai wake. Na Kadama Malunde - Malunde1 blog Fundi Sanifu wa Majengo  'mchoraji ramani za majengo' wa H...
DC KISHAPU AZINDUA KAMPENI YA KUTOKOMEZA UKATILI WA KIJINSIA

DC KISHAPU AZINDUA KAMPENI YA KUTOKOMEZA UKATILI WA KIJINSIA

Mkuu wa Wilaya Kishapu mkoani Shinyanga, Nyabaganga Talaba amezindua kampeni ya kutoa elimu kwa kujiepusha na aina zote za vitendo vy...
MBWA,PAKA 890 WAPEWA CHANJO BURE KAHAMA

MBWA,PAKA 890 WAPEWA CHANJO BURE KAHAMA

Na Salvatory Ntandu - Malunde 1 blog Zaidi ya mbwa na paka 890 wamepewa chanjo dhidi ya kuzuia kichaa cha mbwa wilayani kahama mkoani S...

Monday, September 30, 2019

WAMILIKI WA MAKANISA,BAA NA KUMBI ZA STAREHE WANAOPIGA 'MUZIKI MNENE' WAPEWA ONYO KAHAMA

WAMILIKI WA MAKANISA,BAA NA KUMBI ZA STAREHE WANAOPIGA 'MUZIKI MNENE' WAPEWA ONYO KAHAMA

Mkuu wa wilaya ya Kahama Anamringi Macha Na Salvatory Ntandu - Malunde 1 blog Serikali wilayani Kahama mkoani Shinyanga imetoa on...

Saturday, September 28, 2019

TGNP MTANDAO YATAMBULISHA MRADI WA SAUTI YA WANAWAKE NA UONGOZI TANZANIA

TGNP MTANDAO YATAMBULISHA MRADI WA SAUTI YA WANAWAKE NA UONGOZI TANZANIA

Mratibu wa Mradi wa Sauti ya Wanawake na Uongozi Tanzania,Shakila Mayumana akizungumza wakati wa kutambulisha mradi huo leo Septemba 28,...

Wednesday, September 25, 2019

Picha : AGAPE YAWAPIGA MSASA WALIMU WALEZI WA VILABU SHULENI KUTOKOMEZA MIMBA NA NDOA ZA UTOTONI

Picha : AGAPE YAWAPIGA MSASA WALIMU WALEZI WA VILABU SHULENI KUTOKOMEZA MIMBA NA NDOA ZA UTOTONI

Shirika lisilo la kiserikali la Agape Aids Control Programme la Mkoani Shinyanga, limeendesha mafunzo ya ukatili, na elimu ya afya ya uza...

Tuesday, September 24, 2019

Picha : TAMASHA LA 14 LA JINSIA LAFUNGULIWA JIJINI DAR ES SALAAM..ANGALIA MATUKIO YOTE YALIYOJIRI HAPA

Picha : TAMASHA LA 14 LA JINSIA LAFUNGULIWA JIJINI DAR ES SALAAM..ANGALIA MATUKIO YOTE YALIYOJIRI HAPA

Balozi Getrude Mongella ambaye ni Rais wa Kwanza wa Bunge la Afrika (PAP) na Katibu Mkuu wa Mkutano wa Nne wa wanawake duniani uliofanyi...
TAARIFA YA AWALI UCHUNGUZI KUHUSU VOLCANO YA NDEMBEZI SHINYANGA

TAARIFA YA AWALI UCHUNGUZI KUHUSU VOLCANO YA NDEMBEZI SHINYANGA

Picha : AGAPE YAIBUKA NA MRADI WA 'UTU WA MSICHANA'.. YAENDESHA MAFUNZO KUTOKOMEZA MIMBA NA NDOA ZA UTOTONI

Picha : AGAPE YAIBUKA NA MRADI WA 'UTU WA MSICHANA'.. YAENDESHA MAFUNZO KUTOKOMEZA MIMBA NA NDOA ZA UTOTONI

Shirika lisilo la kiserikali la Agape Aids Control Programme la Mkoani Shinyanga, limeendesha mafunzo ya kuwajengea uwezo wazee wa dini,...

Sunday, September 22, 2019

MWALIMU WA SHULE YA LITTLE TREASURES AFARIKI KWA KUJIRUSHA GHOROFANI ' NIGHT CLUB LEVEL FOUR' SHINYANGA

MWALIMU WA SHULE YA LITTLE TREASURES AFARIKI KWA KUJIRUSHA GHOROFANI ' NIGHT CLUB LEVEL FOUR' SHINYANGA

Kamanda wa Polisi mkoa wa Shinyanga ACP Richard Abwao Na Kadama  Malunde - Malunde 1 blog Mwalimu wa Shule ya Msingi Little Tre...
ONGEZEKO LA NYUMBA ZA KUABUDIA LACHANGIA KUPUNGUA KWA MAUAJI YA VIKONGWE NA WATU WENYE UALBINO SHINYANGA

ONGEZEKO LA NYUMBA ZA KUABUDIA LACHANGIA KUPUNGUA KWA MAUAJI YA VIKONGWE NA WATU WENYE UALBINO SHINYANGA

Msikiti wa Masijd Al Ikhilas Mbulu uliofunguliwa Kahama Na Salvatory Ntandu - Malunde 1 blog Kuongezeka kwa maeneo ya kuabudia husus...
RC TELACK AWAASA WANANCHI WA MKOA HUO KUJIKITA KATIKA HUDUMA ZA KUJINGA KULIKO KUTIBU MAGONJWA

RC TELACK AWAASA WANANCHI WA MKOA HUO KUJIKITA KATIKA HUDUMA ZA KUJINGA KULIKO KUTIBU MAGONJWA

Na Rayson Mwaisemba WAMJW-SHINYANGA Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Zainab Tellack amewaasa Wananchi wa Mkoa huo kujikita katika hud...
KAMPENI YA NYUMBA NI CHOO YAFUNGWA....WASIO NA VYOO KUPIGWA FAINI SHINYANGA

KAMPENI YA NYUMBA NI CHOO YAFUNGWA....WASIO NA VYOO KUPIGWA FAINI SHINYANGA

Mkuu wa mkoa wa Shinyanga Zainab Telack wakati akifunga kampeni ya kitaifa ya usafi wa mazingira maarufu kama nyumba ni choo

Saturday, September 21, 2019

MAJIOLOJIA WATUA SHINYANGA KUCHUNGUZA KILE KINATAJWA KUWA VOLCANO NDEMBEZI

MAJIOLOJIA WATUA SHINYANGA KUCHUNGUZA KILE KINATAJWA KUWA VOLCANO NDEMBEZI

Umesikia kuhusu uwepo wa dalili za Volcano katika eneo la Ndembezi Mazinge Manispaa ya Shinyanga hali iliyozua hofu kwa wananchi...