MALUNDE 1 BLOG - michezo MALUNDE 1 BLOG: michezo - All Post
Showing posts with label michezo. Show all posts
Showing posts with label michezo. Show all posts

Sunday, September 29, 2019

BONANZA KUADHIMISHA  MIAKA MITATU YA MISENYI JOGGING CLUB LAFANA..DC MWILA ATAKA WANANCHI WAFANYE MAZOEZI

BONANZA KUADHIMISHA MIAKA MITATU YA MISENYI JOGGING CLUB LAFANA..DC MWILA ATAKA WANANCHI WAFANYE MAZOEZI

Lydia Lugakila - Malunde 1 blog Mkuu wa wilaya ya Misenyi mkoani Kagera Kanali Denice Mwila amewataka wananchi wilayani humo kuepuka ku...

Saturday, September 28, 2019

 ZESCO UNITED WAICHAPA YANGA 2-1 , YANG'OLEWA LIGI YA MABINGWA AFRIKA

ZESCO UNITED WAICHAPA YANGA 2-1 , YANG'OLEWA LIGI YA MABINGWA AFRIKA

Mshambuliaji Mnamibia, Sadney Urikhob ameifungia Yanga leo ikichapwa 2-1 na Zesco mjini Ndola. BAO la kujifunga la kiungo Mzanzib...

Thursday, September 26, 2019

TETESI ZA SOKA LEO ALHAMIS SEPTEMBA 26,2019

TETESI ZA SOKA LEO ALHAMIS SEPTEMBA 26,2019

Christian Eriksen Real Madrid inamtaka kiungo wa kati wa Tottenham raia wa Denmark Christian Eriksen, mwenye umri wa miaka 27, kusaini mk...

Wednesday, September 25, 2019

TETESI ZA SOKA LEO JUMATANO SEPTEMBA 25,2019

TETESI ZA SOKA LEO JUMATANO SEPTEMBA 25,2019

Mshambulizi wa Juventus wa miaka 33 Mcroatia Mario Mandzukic Manchester United inapania kumsajili mshambulizi wa Juventus wa miaka 33 M...

Tuesday, September 24, 2019

 MESSI AMPIKU RONALDO, ATWAA TUZO YA MCHEZAJI BORA FIFA, LISTI KAMILI YA WALIOBEBA HII HAPA

MESSI AMPIKU RONALDO, ATWAA TUZO YA MCHEZAJI BORA FIFA, LISTI KAMILI YA WALIOBEBA HII HAPA

Straika wa FC Barcelona na timu ya taifa ya Argentina Lionel Messi amenyakua tuzo ya mwanasoka bora wa dunia katika Usiku wa Tuzo za FIFA...
TETESI ZA SOKA LEO JUMANNE SEPTEMBA 24,2019

TETESI ZA SOKA LEO JUMANNE SEPTEMBA 24,2019

Real Madrid wanafuatilia kwa karibu hali ya baadae ya uhamisho wa mchezaji wa safu ya mashambulizi wa Manchester City na England Raheem Ste...

Monday, September 23, 2019

MSANII H BABA, AHAMISHIA NGUVU ZAKE KWENYE SOKA

MSANII H BABA, AHAMISHIA NGUVU ZAKE KWENYE SOKA

Na Fabian Fanuel, Mwanza. MSANII Maarufu wa Muziki wa Bongo Flava asiyechuja kutoka Mabatini Mwanza H Baba ameendeleza utaratibu wak...
MABINGWA WAPYA ANGELA KAIRUKI CUP 2019 WAKABIDHIWA ZAWADI ZAO

MABINGWA WAPYA ANGELA KAIRUKI CUP 2019 WAKABIDHIWA ZAWADI ZAO

Waziri wa Nchi ,ofisi ya Waziri Mkuu ,Uwekezaji ,Angela Kairuki akizungumza wakati wa mchezo wa fainali ya Mashindano ya Angela Kairuki Cu...

Friday, September 20, 2019

ALLIANCE FC WAENDELEA KUNG'ANG'ANIWA NYUMBANI, WATOKA SARE NA BIASHARA UNITED

ALLIANCE FC WAENDELEA KUNG'ANG'ANIWA NYUMBANI, WATOKA SARE NA BIASHARA UNITED

Na Fabian Fanuel - Malunde1 blog Mwanza Timu soka ya Alliance FC kutoka Mwanza leo imetoka sare kwa kufungana goli 1-1 na timu...
RPC MULIRO AZUNGUMZIA FUJO ZA KLABU ZA SOKA LEO MWANZA

RPC MULIRO AZUNGUMZIA FUJO ZA KLABU ZA SOKA LEO MWANZA

Kamanda Jumanne Murilo Kamanda wa Polisi mkoani Mwanza, Jumanne Murilo amezungumzia juu ya fujo zilizotokea leo katika Uwanja wa Ny...
TIMU YA KAKOI YATINGA ROBO FAINALI MICHUANO YA CHEMCHEM CUP 2019

TIMU YA KAKOI YATINGA ROBO FAINALI MICHUANO YA CHEMCHEM CUP 2019

Mwandishi wetu,Arusha Timu ya soka ya Kakoi ya wilaya ya Babati mkoa wa Manyara,imefanikiwa kuingia  robo fainali katika michua...

Thursday, September 19, 2019

EVANS AVEVA NA KABURU WAONDOLEWA MASHITAKA YA UTAKATISHAJI FEDHA.....MAHAKAMA YASEMA DHAMANA YAO IKO WAZI

EVANS AVEVA NA KABURU WAONDOLEWA MASHITAKA YA UTAKATISHAJI FEDHA.....MAHAKAMA YASEMA DHAMANA YAO IKO WAZI

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imempa dhamana aliyekuwa Rais wa Klabu ya Simba, Evans Aveva na Godfrey Nyange maarufu Kaburu baada ya k...
UZINDUZI WA MBIO ZA ROCK MARATHON 2019 WAFANYIKA MWANZA

UZINDUZI WA MBIO ZA ROCK MARATHON 2019 WAFANYIKA MWANZA

Na Fabian Fanuel - Malunde 1 blog Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana Mkoa wa Mwanza Dkt. Phillis Nyimbi leo amezindua mbio ndefu za Rock Cit...
TETESI ZA SOKA LEO ALHAMIS SEPTEMBA 19,2019

TETESI ZA SOKA LEO ALHAMIS SEPTEMBA 19,2019

Manchester United inatumai kumshawishi mchezaji wa kiungo cha kati mwenye umri wa miaka 26 Paul Pogba kusaini mkataba mpya. Mchezaji wa k...

Monday, September 16, 2019

TETESI ZA SOKA LEO JUMATATU SEPTEMBA 16,2019

TETESI ZA SOKA LEO JUMATATU SEPTEMBA 16,2019

Real Madrid na Barcelona zinatarajiwa kushindana pakubwa kuwania kumvutia meneja Jurgen Klopp na mlinzi Virgil van Dijk, mwenye umri wa m...

Saturday, September 14, 2019

Full Time : YANGA 1-1 ZESCO UNITED, LIGI YA MABINGWA AFRIKA

Full Time : YANGA 1-1 ZESCO UNITED, LIGI YA MABINGWA AFRIKA

Yanga SC imelazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na Zesco United ya Zambia katika mchezo wa kwanza wa hatua ya mwisho ya mchujo wa kuwani...
MWENYEKITI WA KLABU YA SIMBA, SWEDI MKWABI AJIUZULU

MWENYEKITI WA KLABU YA SIMBA, SWEDI MKWABI AJIUZULU

Uongozi wa klabu ya Simba unatoa taarifa kwa wanachama, mashabiki na wananchi wote kwamba Mwenyekiti wa Klabu ya Simba, Swedi Mkwabi kwa...
Picha : DC MBONEKO AONGOZA WANANCHI KUFANYA MAZOEZI SHINYANGA

Picha : DC MBONEKO AONGOZA WANANCHI KUFANYA MAZOEZI SHINYANGA

Mkuu wa wilaya ya Shinyanga,Mhe.Jasinta Mboneko ameongoza wakazi wa Shinyanga kufanya mazoezi leo Jumamosi Septemba 14,2019 ikiwa sehemu y...

Friday, September 13, 2019

SIMBA SC YAICHAPA MTIBWA SUGAR 2 -1 ...COASTAL NAYO YAIPIGA KMC 2-0 TANGA

SIMBA SC YAICHAPA MTIBWA SUGAR 2 -1 ...COASTAL NAYO YAIPIGA KMC 2-0 TANGA

Na Asha Said, DAR ES SALAAM MABINGWA watetezi, Simba SC wameendeleza wimbi la ushindi baada ya kuichapa Mtibwa Sugar mabao 2-1 katika...

Monday, September 9, 2019

TETESI ZA SOIKA LEO JUMATATU SEPTEMBA 9,2019

TETESI ZA SOIKA LEO JUMATATU SEPTEMBA 9,2019

Barcelona wanajiandaa kusaini mkataba na mshambuliaji wa mbele Lionel Messi, 32 Barcelona wanaandaa mkataba mpya wa mshambuliaji Lionel...