MALUNDE 1 BLOG - matukio MALUNDE 1 BLOG: matukio - All Post
Showing posts with label matukio. Show all posts
Showing posts with label matukio. Show all posts

Monday, October 7, 2019

MAHAKAMA KUTOA HUKUMU IJUMAA KESI YA ANAYEDAIWA KUMBAKA BINTI YAKE

MAHAKAMA KUTOA HUKUMU IJUMAA KESI YA ANAYEDAIWA KUMBAKA BINTI YAKE

Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha imepanga kutoa hukumu Ijumaa October 11,2019 dhidi ya Kigogo wa TPRI, Aresteric Silayo anayedaiwa kumba...

Saturday, October 5, 2019

JAMAA AFARIKI AKILA MAINI MABICHI BUCHANI

JAMAA AFARIKI AKILA MAINI MABICHI BUCHANI

Wakazi wa eneo la Kapset kaunti ya Bomet nchini Kenya wamepigwa na butwaa kufuatia kisa cha jamaa kufariki dunia baada ya kunigwa na kipa...

Friday, October 4, 2019

TMA YATANGAZA MVUA KUBWA KUNYESHA KESHO DAR,TANGA,PWANI,ZANZIBAR,MORO

TMA YATANGAZA MVUA KUBWA KUNYESHA KESHO DAR,TANGA,PWANI,ZANZIBAR,MORO

Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa tahadhari ya mvua kubwa inayotarajiwa kunyesha kesho Jumamosi 5, 2019 katika mikoa mbalimba...
RAIS MAGUFULI AMPONGEZA MKUU WA MKOA WA MBEYA KWA KUWACHAPA VIBOKO WANAFUNZI

RAIS MAGUFULI AMPONGEZA MKUU WA MKOA WA MBEYA KWA KUWACHAPA VIBOKO WANAFUNZI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amempongeza Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila kwa kuwarudisha nyum...
BAADA YA KUWACHARAZA VIBOKO WANAFUNZI...MKUU WA MKOA WA MBEYA AFUKUZA WANAFUNZI WOTE

BAADA YA KUWACHARAZA VIBOKO WANAFUNZI...MKUU WA MKOA WA MBEYA AFUKUZA WANAFUNZI WOTE

Na Esther Macha - Malunde1 blog Chunya SIKU moja baada ya Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila kuchapa viboko wanafunzi 14 wa shule...
WATU 13 WAFARIKI DUNIA KATIKA AJALI YA BASI KISUMU KENYA

WATU 13 WAFARIKI DUNIA KATIKA AJALI YA BASI KISUMU KENYA

WATU 13 wamefariki dunia na wengine kujeruiwa katika ajali ya basi lililokuwa linatoka soko la Awasi Kisumu kuelekea Nairobi nchini Ken...

Thursday, October 3, 2019

MWANAMKE MBARONI KWA KUMDANGANYA MPENZI WAKE KUWA AMEZAA NAE ILI APATE PESA ZA MALEZI

MWANAMKE MBARONI KWA KUMDANGANYA MPENZI WAKE KUWA AMEZAA NAE ILI APATE PESA ZA MALEZI

Polisi katika eneo la Fort Portal nchini Uganda wanamshikilia mwanamke mmoja anayeshutumiwa kumtoa mtoto wake mchanga wa miezi mitatu kwa...
JAMAA AJITUPA MAJINI AKIJARIBU KUVUKA BAHARI KWA KUOGELEA

JAMAA AJITUPA MAJINI AKIJARIBU KUVUKA BAHARI KWA KUOGELEA

Kizaazaa kilizuka katika kivukio cha feri Likoni  kaunti ya Mombasa  nchini Kenya  baada ya jamaa kujitupa Bahari Hindi na kujaribu kuvuka...
MTUMISHI WA AFYA AJINYONGA KWA WAYA JUU YA MTI KAHAMA

MTUMISHI WA AFYA AJINYONGA KWA WAYA JUU YA MTI KAHAMA

Mtumishi wa afya kituo cha afya Ushetu wilayani Kahama,Moses Amasha Mbilinyi (26) amefariki dunia kwa kunyonga kwa kutumia waya wa Extens...
MGANGA WA KIENYEJI ADAIWA KUBAKA MTOTO WA MIAKA 8 MAMA AKINUNUA WEMBE

MGANGA WA KIENYEJI ADAIWA KUBAKA MTOTO WA MIAKA 8 MAMA AKINUNUA WEMBE

Mganga wa kienyeji mkazi wa Ujiji, Venas Edward (48), amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya Mkoa wa Kigoma kwa madai ya kumbaka mtoto msi...

Tuesday, October 1, 2019

Breaking : BASI LA ALLY'S STAR LAUA AFISA WA MANISPAA YA SHINYANGA

Breaking : BASI LA ALLY'S STAR LAUA AFISA WA MANISPAA YA SHINYANGA

Mhoja Mambosasa enzi za uhai wake. Na Kadama Malunde - Malunde1 blog Fundi Sanifu wa Majengo  'mchoraji ramani za majengo' wa H...
KABENDERA AMUOMBA RADHI RAIS MAGUFULI

KABENDERA AMUOMBA RADHI RAIS MAGUFULI

Mwandishi wa habari nchini Tanzania, Erick Kabendera amemwomba radhi Rais na Serikali ya nchi hiyo akiomba kusamehewa kama kuna makosa amey...

Monday, September 30, 2019

LUGOLA AAGIZA ASKARI  WOTE WA KITUO CHA MAJIMOTO WAHAMISHWE.... WANANCHI WATAKA MKUU WA KITUO ABAKI

LUGOLA AAGIZA ASKARI WOTE WA KITUO CHA MAJIMOTO WAHAMISHWE.... WANANCHI WATAKA MKUU WA KITUO ABAKI

Na Adelina Ernest - Malunde 1 blog Waziri wa mambo ya Ndani nchini Tanzania, Kangi Lugola ametoa siku saba kwa Polisi Mkoa wa Katavi ku...
RAIS MAGUFULI : NIMEONGEZA SIKU 7 TENA ZA KUOMBA MSAMAHA KWA WAHUJUMU UCHUMI..SIFANYI KAZI YA KITOTO WASIDANGANYWE

RAIS MAGUFULI : NIMEONGEZA SIKU 7 TENA ZA KUOMBA MSAMAHA KWA WAHUJUMU UCHUMI..SIFANYI KAZI YA KITOTO WASIDANGANYWE

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, ameongeza siku 7 zingine kwa watuhumiwa wa makosa ya Uhujumu uchumi n...

Sunday, September 29, 2019

KUNGUNI WAZUA GUMZO KWENYE BASI LA ARIZONA  DAR - KIGOMA

KUNGUNI WAZUA GUMZO KWENYE BASI LA ARIZONA DAR - KIGOMA

Abiria waliokuwa wakisafiri na Basi la Kampuni ya Arizona kutoka mkoani Kigoma kuelekea jijini Dar es salaam, wamegoma kuendelea na ...
AUA WAZAZI WAKE KISA WAMEINGILIA MAPENZI ALIYONAYO KWA MREMBO WA TWITTER

AUA WAZAZI WAKE KISA WAMEINGILIA MAPENZI ALIYONAYO KWA MREMBO WA TWITTER

Mwanaume mmoja raia wa Marekani Grant Amanto (29), mwenye hisia kali za mapenzi dhidi ya mwanamke aliyemuona mtandaoni aliyefahamika kw...
MPISHI AKAMATWA KWA KUPIKA CHAKULA CHENYE BANGI

MPISHI AKAMATWA KWA KUPIKA CHAKULA CHENYE BANGI

Mpishi mmoja amekamatwa kwa kutuhumiwa kwa ulanguzi wa madawa ya kulevya baada ya polisi kugundua bangi nyumbani kwake, vyombo vya habari...

Saturday, September 28, 2019

MTALII AFARIKI AKIRUKA ANGANI NA PARACHUTI KUTOKA KILELE CHA MLIMA KILIMANJARO

MTALII AFARIKI AKIRUKA ANGANI NA PARACHUTI KUTOKA KILELE CHA MLIMA KILIMANJARO

Na Florah Temba na Fina Lyimo, Mwananchi Justin Kyllo (51), raia wa Canada amekufa baada ya Parachuti alilokuwa akitumia kuruka angan...

Friday, September 27, 2019

MAMA WA KAMBO ATUPWA JELA KWA KUMLISHA MTOTO DAMU YA HEDHI

MAMA WA KAMBO ATUPWA JELA KWA KUMLISHA MTOTO DAMU YA HEDHI

Mwanamke huyo kwa jina , Annet Namata, alikuwa amekiri kosa hilo na akaomba msamaha kwa madai kuwa yeye ni mama wa watoto watatu , limer...

Thursday, September 26, 2019

Breakinga : AJALI YAUA ASKARI WA JWTZ WAWILI KIGOMA

Breakinga : AJALI YAUA ASKARI WA JWTZ WAWILI KIGOMA

Na Editha Karlo - Malunde1 blog  ASKARI wawili wa Jeshi la wananchi(JWTZ) kikosi cha 24KJ Mkoani Kigoma,wamefariki dunia na wengine zai...