Showing posts with label matukio. Show all posts
Showing posts with label matukio. Show all posts

Monday, January 14, 2019

MSTAAFU ADAIWA KUUAWA KWA KUCHOMWA MKASI NA 'HOUSE BOY' WAKE

MSTAAFU ADAIWA KUUAWA KWA KUCHOMWA MKASI NA 'HOUSE BOY' WAKE

Tunsume Sakajinga (60), mkazi wa wilayani Temeke jijini Dar es Salaam ameuawa baada kupigwa na kitu kizito kichwani kisha kuchomwa na m...
PAKA ATUMWA KAMA KIFURUSHI POSTA

PAKA ATUMWA KAMA KIFURUSHI POSTA

Bwana mmoja nchini Taiwan amepigwa faini baada ya kumsafirisha paka wake kama kifurushi kwa njia ya mawasiliano ya posta.
KAULI YA KANGI LUGOLA KUHUSU VIDEO YA TRAFIKI KUMSHAMBULIA 'KUMNG'ATA MENO' DEREVA WA LORI

KAULI YA KANGI LUGOLA KUHUSU VIDEO YA TRAFIKI KUMSHAMBULIA 'KUMNG'ATA MENO' DEREVA WA LORI

Wakati video inayoonyesha askari watatu wa Kikosi cha Usalama Barabarani wakimshambulia dereva wa lori ikizua mjadala mitandaoni, Jes...

Saturday, January 12, 2019

ALIYETUNGA WIMBO AKIJITANGAZA KUWA NI SHOGA AUAWA KWA KUPIGWA RISASI

ALIYETUNGA WIMBO AKIJITANGAZA KUWA NI SHOGA AUAWA KWA KUPIGWA RISASI

Mwanamuziki wa nyimbo za mtindo wa rap ambaye pia amekuwa mtetezi mkubwa wa haki za wapenzi wa jinsia moja ameuawa kwa kupigwa risasi mar...

Friday, January 11, 2019

MWALIMU ATEKWA,ANYWESHWA SUMU NA KUFARIKI AKIJIANDAA KUOA

MWALIMU ATEKWA,ANYWESHWA SUMU NA KUFARIKI AKIJIANDAA KUOA

Mwalimu Nocka Mwaisango (28) wa Shule ya Sekondari Kibwe, jijini Dodoma, amefariki dunia baada ya kunyweshwa sumu na watu wasiofahamika.
MAMA AJIFUNGUA WATOTO WANNE KWA MPIGO MWANZA

MAMA AJIFUNGUA WATOTO WANNE KWA MPIGO MWANZA

Picha hazihusiani na habari hapa chini Jenipher Juma (23), mkazi wa Ibanda jijini Mwanza amejifungua watoto wanne miezi miwili kabla ya ...

Thursday, January 10, 2019

Picha : DC MBONEKO AWATEMBELEA HOSPITALI WANAFUNZI WALIOPATA AJALI SHINYANGA

Picha : DC MBONEKO AWATEMBELEA HOSPITALI WANAFUNZI WALIOPATA AJALI SHINYANGA

Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga Bi. Jasinta Mboneko amefika katika hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Shinyanga kwa ajili ya kuwajulia hali wanaf...
BODABODA AUAWA KWA KUPIGWA NA ABIRIA KISA KAKATAA NAULI YA 500

BODABODA AUAWA KWA KUPIGWA NA ABIRIA KISA KAKATAA NAULI YA 500

Jeshi la Polisi mkoani Morogoro linamsaka mtu mmoja ambaye jina lake limehifadhiwa kwa sababu za kiupelelezi kwa tuhuma za kumuua dereva ...
BASI LA SHULE YA LITTLE TREASURES LAPATA AJALI DEREVA AKICHAT ..WANAFUNZI WAJERUHIWA

BASI LA SHULE YA LITTLE TREASURES LAPATA AJALI DEREVA AKICHAT ..WANAFUNZI WAJERUHIWA

Basi la shule ya msingi Little Treasures iliyopo katika manispaa ya Shinyanga imepata ajali na kupinduka na kutumbukia mtaroni eneo l...
MWANAMKE APEWA DAWA YA KUSIMAMISHA UUME BADALA YA KUTIBU MACHO

MWANAMKE APEWA DAWA YA KUSIMAMISHA UUME BADALA YA KUTIBU MACHO

Mwanamke mmoja nchini Uingereza amepata majeraha ya kemikali baada ya kupewa kwa makosa dawa ya kusimamisha uume badala ya dawa ya kutibu...
MAHAKAMA YAAMURU KUFUKULIWA KWA MWILI ULIOZIKWA MWAKA JANA

MAHAKAMA YAAMURU KUFUKULIWA KWA MWILI ULIOZIKWA MWAKA JANA

Mahakama ya Hakimu Mkazi ya Wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma, imeamuru kufukuliwa kwa mwili wa marehemu Benedict Msote (68), aliyefariki...
MMILIKI WA SHULE MATATANI KWA KUWATWANGA RISASI WALIMU ARUSHA

MMILIKI WA SHULE MATATANI KWA KUWATWANGA RISASI WALIMU ARUSHA

JESHI la Polisi mkoani Arusha limemsweka ndani mmiliki wa shule binafsi ya Usa Academy iliyopo wilayani Arumeru mkoani Arusha, R...
SAMAKI AUA MTU

SAMAKI AUA MTU

Katika mji wa Brooklyn nchini Marekani, kumekumbwa na mkasa wa mama anayedaiwa kupika samaki na harufu iliyotoka, imemuua mwanawe mdogo...
ANAYEDAIWA KUUA MWALIMU AFIKISHWA MAHAKAMANI

ANAYEDAIWA KUUA MWALIMU AFIKISHWA MAHAKAMANI

Mtuhumiwa Seif Salimu anayedaiwa kuhusika na mauaji ya mwalimu wa Shule ya Msingi ya Mailisita Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Dinna ...
LORI LAGONGA TRENI DODOMA

LORI LAGONGA TRENI DODOMA

Na.Alex Sonna,Dodoma Watu wawili wamenusurika kifo baada ya lori aina ya scania walilokuwa wakisafiria kutoka Dodoma kwenda Iringa kuigon...

Wednesday, January 9, 2019

BABU WA MIAKA 80 ANYOFOLEWA SEHEMU ZAKE ZA SIRI NA WASIOJULIKANA KAGERA

BABU WA MIAKA 80 ANYOFOLEWA SEHEMU ZAKE ZA SIRI NA WASIOJULIKANA KAGERA

Picha haihusiani na habari hapa chini Mzee Laurian Kakoto (80), mkazi wa kijiji cha Ihunga kata Kishanda wilayani Muleba mkoani Kagera a...
PICHA ZA ALIYEPOTEA ZASAMBAA MTANDAONI AKIWA UCHI KAVAA SHANGA

PICHA ZA ALIYEPOTEA ZASAMBAA MTANDAONI AKIWA UCHI KAVAA SHANGA

Matukio ya kutoweka kwa wananchi sasa yanazidi kuibuka baada ya kijana mmoja mkazi wa kijiji cha Michungwani wilayani Handeni kupotea...

Sunday, January 6, 2019

MGONJWA MAHUTUTI KWA MIAKA 10 AJIFUNGUA MTOTO....HAJULIKANI ALIYEMPA MIMBA HOSPITALINI

MGONJWA MAHUTUTI KWA MIAKA 10 AJIFUNGUA MTOTO....HAJULIKANI ALIYEMPA MIMBA HOSPITALINI

Maafisa wa polisi mjini Arizona nchini Marekani wameanzisha uchunguzi wa unyanyasaji wa kingono baada ya kupokea ripoti kuhusu mgonjwa al...
KINYWAJI  KILICHOWEKEWA VIAGRA 'KUONGEZA NGUVU ZA KIUME' CHAZUA BALAA..JAMAA APATA TABU

KINYWAJI KILICHOWEKEWA VIAGRA 'KUONGEZA NGUVU ZA KIUME' CHAZUA BALAA..JAMAA APATA TABU

Shirika la kupima viwango vya ubora wa bidhaa nchini Uganda The Uganda National Bureau of Standards (UNBS) linatarajiwa kufanya utafiti n...
DIWANI WA CCM AVAMIWA KWA SHOKA NA NONDO KAHAMA

DIWANI WA CCM AVAMIWA KWA SHOKA NA NONDO KAHAMA

Kaimu Kamanda wa polisi mkoa wa Shinyanga ACP Richard Abwao Diwani wa kata ya Sabasabini halmashauri ya wilaya ya Ushetu wilayani K...