MALUNDE 1 BLOG - mapenzi MALUNDE 1 BLOG: mapenzi - All Post
Showing posts with label mapenzi. Show all posts
Showing posts with label mapenzi. Show all posts

Friday, September 13, 2019

SPIKA WA BUNGE AWASHAURI WABUNGE KUACHA KUFANYA 'NGONO KIHOLELA'....  WALE KWA NIDHAMU

SPIKA WA BUNGE AWASHAURI WABUNGE KUACHA KUFANYA 'NGONO KIHOLELA'.... WALE KWA NIDHAMU

Spika wa bunge la Uganda Rebecca Kadaga amewashauri wabunge wa Uganda na maafisa wa itifaki kulinda hadhi yao wakati wote wa Mkutano wa ...
Makubwa Haya : MREMBO AZIMIA AKIOMBA PENZI LA MUME WA MTU

Makubwa Haya : MREMBO AZIMIA AKIOMBA PENZI LA MUME WA MTU

NANI kasema wanawake hawawezi kuwatongoza wanaume? Mjini Morogoro mwanamke mmoja (jina halikupatikana) amejikuta akizimia wakati akimuomb...

Thursday, September 12, 2019

WANAWAKE WANNE NA MWANAUME MMOJA WAHUKUMIA JELA MIEZI 6 KWA KUFANYA BIASHARA YA UKAHABA

WANAWAKE WANNE NA MWANAUME MMOJA WAHUKUMIA JELA MIEZI 6 KWA KUFANYA BIASHARA YA UKAHABA

Na.Faustine Gimu Galafoni,Dodoma. Wanawake 4 na Mwanaume mmoja anaedaiwa kuwa ni mteja wao wamehukumiwa kifungo cha miezi 6 na Mahaka...

Wednesday, September 11, 2019

MWANAFUNZI AJIUA BAADA YA KUZOMEWA NA WENZIE MWALIMU AKIMTAKA ATOKE DARASANI DAMU ZA HEDHI

MWANAFUNZI AJIUA BAADA YA KUZOMEWA NA WENZIE MWALIMU AKIMTAKA ATOKE DARASANI DAMU ZA HEDHI

Mwanafunzi mmoja nchini Kenya amejiua baada ya kudaiwa kuzomewa darasani kwa kuwa sare yake ya shule ilichafuka na madoa ya damu alipokuwa ...

Monday, September 9, 2019

MWALIMU MKUU MSAIDIZI ATIWA MBARONI KWA KUMBAKA MWANAFUNZI OFISINI

MWALIMU MKUU MSAIDIZI ATIWA MBARONI KWA KUMBAKA MWANAFUNZI OFISINI

Polisi Mkoani Mara wanamshikilia Mwalimu Mkuu Msaidizi wa Shule ya Msingi Bwai A, Wilayani Musoma Lazaro Mmanga kwa tuhuma za kumbaka (...
HARMONIZE AFUNGA NDOA KISIRI BILA WASAFI

HARMONIZE AFUNGA NDOA KISIRI BILA WASAFI

Nchini Tanzania, msanii Rajab Abdul Kahali kwa jina maarufu Harmonize amefunga ndoa na mchumba wake ambaye ni raia wa Italia, Sarah Mic...

Sunday, September 8, 2019

MWALIMU AMCHARANGA PANGA MPENZI WAKE WAKIWA GESTI OLD SHINYANGA

MWALIMU AMCHARANGA PANGA MPENZI WAKE WAKIWA GESTI OLD SHINYANGA

Kamanda wa polisi mkoa wa Shinyanga,ACP Richard Abwao Na Kadama Malunde - Malunde 1 blog Mwanamke aitwae Neema Kabulu ...
NGUZA VIKING 'BABU SEYA' NA KATIBU TAWALA WILAYA YA MUHEZA WAFUNGA PINGU ZA MAISHA

NGUZA VIKING 'BABU SEYA' NA KATIBU TAWALA WILAYA YA MUHEZA WAFUNGA PINGU ZA MAISHA

Mwanamuziki Mkongwe nchini Nguza Viking almaarufu Babu Seya amefunga ndoa takatifu Jumamosi Septemba 7,2029 katika Kanisa Katoliki,Sinz...

Saturday, September 7, 2019

Breaking : MCHUNGAJI WA KANISA LA VICTORIA ASHAMBULIWA NA WATU WASIOJULIKANA...YUPO HOI

Breaking : MCHUNGAJI WA KANISA LA VICTORIA ASHAMBULIWA NA WATU WASIOJULIKANA...YUPO HOI

Mchungaji Amos Joseph kutoka kanisa la Victoria Itobo wilaya ya Nzega mkoani Tabora amenusurika kufa baada ya kushambuliwa na kund...

Friday, September 6, 2019

BIBI WA MIAKA 73 AJIFUNGUA MAPACHA WAWILI

BIBI WA MIAKA 73 AJIFUNGUA MAPACHA WAWILI

Mangayamma Yaramati Mwanamke mwenye umri wa miaka 73 katika jimbo la Kusini mwa Idia la Andhra Pradesh amejifungua watoto 2 mapacha wa k...

Thursday, September 5, 2019

WANAWAKE 15 WAINGIA NDANI YA 18 YA RPC MUROTO KWA KUFANYA UKAHABA

WANAWAKE 15 WAINGIA NDANI YA 18 YA RPC MUROTO KWA KUFANYA UKAHABA

Na.Faustine Gimu Galafoni,Dodoma. JESHI la Polisi mkoani Dodoma limewakamata na kuwafikisha mahakamani makahaba 15 ambapo wamehukumi...

Monday, September 2, 2019

AMSHAMBULIA EX  BAADA YA KUMNASA AKIPANGA MIPANGO YA KUOLEWA NA BWANA MWINGINE

AMSHAMBULIA EX BAADA YA KUMNASA AKIPANGA MIPANGO YA KUOLEWA NA BWANA MWINGINE

Mkulima wa Kijiji cha Nangaru, mkoani wa Lindi Abdallah Shaibu Nyuki (30), amehukumiwa na Mahakama kuu ya Tanzania Kanda ya Mtwara, kwe...

Sunday, September 1, 2019

ALIYENASWA AKIFANYA MAPENZI NA MWANAFUNZI NDANI YA CHUMBA CHA MAMA YAKE ATUPWA JELA MIAKA 30

ALIYENASWA AKIFANYA MAPENZI NA MWANAFUNZI NDANI YA CHUMBA CHA MAMA YAKE ATUPWA JELA MIAKA 30

Mkazi wa Kata ya Mikumbi, Halmashauri ya Manispaa ya Lindi, Abdull Mohamedi (30) amehukumiwa kifungo cha miaka (30) Gerezani, baada ya ...
FAIZA ALLY AFUNGUKA BAADA YA SUGU KUOA MWANAMKE MWINGINE

FAIZA ALLY AFUNGUKA BAADA YA SUGU KUOA MWANAMKE MWINGINE

Mzazi mwenza wa Mbunge wa Mbeya Mjini Sugu, Faiza Ally amesema amependezwa na tukio la kufunga ndoa kwa Joseph Mbilinyi, na anaamini sa...

Saturday, August 31, 2019

MBUNGE WA CHADEMA JOSEPH MBILINYI 'SUGU' AFUNGA NDOA

MBUNGE WA CHADEMA JOSEPH MBILINYI 'SUGU' AFUNGA NDOA

Mbunge wa Mbeya Mjini (Chadema), Joseph Mbilinyi maarufu Sugu leo Jumamosi Agosti 31, 2019 amefunga ndoa na Happiness Msonga katika Kani...

Friday, August 30, 2019

AUA MKEWE KISHA KUJIUA KWA KUJIKATA KOROMEO

AUA MKEWE KISHA KUJIUA KWA KUJIKATA KOROMEO

Jovither Kaijage, Ukerewe Mkazi wa Kijiji cha Kagera wilayani Ukerewe mkoani Mwanza, Celestin Masatu (39) amejichoma kisu tumboni, kuj...

Thursday, August 29, 2019

AFUNGWA JELA MAISHA KWA KUNAJISI MTOTO KAHAMA

AFUNGWA JELA MAISHA KWA KUNAJISI MTOTO KAHAMA

Na Salvatory Ntandu - Malunde 1 blog Kahama Mkazi wa kijiji cha Kakola wilayani Kahama mkoani Shinyanga, Majaliwa Chrisant amehukumi...
KIJANA ATUPWA JELA MIAKA 60 KWA KUMBAKA NA KUMPA MIMBA MWANAFUNZI KAHAMA

KIJANA ATUPWA JELA MIAKA 60 KWA KUMBAKA NA KUMPA MIMBA MWANAFUNZI KAHAMA

Na Salvatory Ntandu -Malunde1 blog Kahama Mkazi wa kijiji cha Izumba kata ya Ikinda katika halmashauri ya Msalala wilayani kahama mkoani S...
AJIUA KWA KUNYWA SUMU BAADA YA KUMUUA MKEWE KISHA KUMLAZA KITANDANI KAGONGWA

AJIUA KWA KUNYWA SUMU BAADA YA KUMUUA MKEWE KISHA KUMLAZA KITANDANI KAGONGWA

Kamanda wa polisi mkoa wa Shinyanga,ACP Richard  Abwao Na Kadama Malunde - Malunde1 blog Mwanaume aitwaye Paschal Clement Mahona (32) ...
22 WATUPWA JELA KWA KUFANYA BIASHARA YA NGONO 'UZEMBE NA UZURURAJI'

22 WATUPWA JELA KWA KUFANYA BIASHARA YA NGONO 'UZEMBE NA UZURURAJI'

 Mahakama ya Mwanzo Nunge manispaa ya Morogoro imewahukumu watu 22 kifungo cha miezi sita jela baada ya kuwatia hatiani kwa kosa la uzembe...