Post Top Ad
Showing posts with label habari. Show all posts
Showing posts with label habari. Show all posts
Wednesday, June 22, 2022
Afisa Afya Mkoa wa Kagera Bw. Zabron Segeru Na Mbuke Shilagi Kagera. Jamii imetakiwa kushiriki kikamilifu kwenye ujenzi wa vyoo bora ili kul...
TIC YAADHIMISHA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA
Kituo cha Uwekezaji Tanzania kinaendelea na maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma kwa kutoa elimu ya Uwekezaji kwa wananchi na wawekezaji ...
MAANDALIZI YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022...FAHAMU KUHUSU SENSA
Maandalizi ya Sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022 Utangulizi Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imepanga kufanya Sensa ya Watu ...
OJADACT YALAANI MAUAJI YA WATOTO GEITA
TAMKO LA KULAANI MAUAJI YA WATOTO MKOANI GEITA, JUNI 22 2022 OJADACT inalaani matukio ya mauaji yanayoendelea Nchini husasani ...
Tuesday, June 21, 2022
JAMAA ALIYEKAMATWA NA CHUCHU ZA BINADAMU, NYETI 5 ZA WANAWAKE AFIKISHWA MAHAKAMANI
Mkazi wa Maswa, mkoani Simiyu, Salum Nkonja maarufu kama Emmanuel Nkonja, amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kujibu mashta...
WAFANYAKAZI WIZARA YA HABARI, MAWASILIANO NA TEKNOLOJIA YA HABARI WATAKIWA KUCHAMBUA FURSA ZA KIUCHUMI KUSAIDIA KUFUNGUA AJIRA ZA KIMATAIFA
Dotto Kwilasa
Tuesday, June 21, 2022
0
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Tehama Dkt.Jimmy Yonaz akiongea kwenye kikao kazi cha uchambuzi wa fursa za kiuchumi za sek...
BABA AJIUNGA SHULE YA MSINGI ASOME NA MTOTO WAKE DARASA LA TATU
Joel Majok akiwa na mtoto wake MWANAUME mmoja raia wa Sudan Kusini mwenye umri wa makamo ameibua gumzo mjini Eldoret baada ya kujiunga na sh...
WANANCHI WACHOMA MOTO GARI LILILOUA MWENDESHA BODABODA KAHAMA MJINI
Na Victoria Robert , Kahama Waendesha bodaboda pamoja na wananchi wenye hasira kali wamedaiwa kuchoma moto gari aina ya Noah lenye namba za...
MWENYEKITI WA CCM RAIS SAMIA AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM DODOMA
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati Kuu y...
‘TUNATAKA MAAMUZI HAYA KWENYE KOROSHO’-MBUNGE CHIKOTA
Na Mwandishi Wetu, DODOMA MBUNGE wa Nanyamba (CCM), Abdallah Chikota ameshauri serikali ichukue maamuzi magumu wa kufufua viwanda 12 vya kub...
BABU WA MIAKA 62 ATUPWA JELA KWA KUUA MFANYABIASHARA WA MADINI MWANZA
MAHAKAMA Kuu ya Tanzania Kanda ya Mwanza imemhukumu, Damian Andrea (62), kunyongwa hadi kufa kwa kosa la kumpiga risasi na kumuua mfanyabias...
WATUMISHI NEC WACHANGIA DAMU, WAFANYA USAFI HOSPITALI YA UHURU DODOMA
Watumishi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, katika kuadhimisha Wiki ya Utumishi wa Umma nchini ambayo kila mwaka hufanyika kuanzia tarehe 16 -23...
FEDHA ZA CSR ZA BARRICK BULYANHULU ZAFANIKISHA MIRADI MIKUBWA YA SEKTA YA ELIMU NA AFYA WILAYANI NYANG’HWALE
Maofisa Waandamizi wa Barrick Bulyanhulu wakielekea kutembelea maabara ya sekondari ya Nyigundu. ** Wananchi wanaoishi wilayani Nyang’hwale ...
MWANAFUNZI AUAWA, ATOBOLEWA JICHO NA KUPONDWA UNYAYO
Mwili wa mtoto Johnson Thomas (14) mwanafunzi wa darasa la saba katika Shule ya Msingi Buhalahala mjini Geita aliyeuawa. ** Mtoto Johnson T...
RC MGUMBA AWATAKA WAFANYABIASHARA WA SONGWE KUTOA USHIRIKIANO KWA TRA
Mkuu wa mkoa akiwa na maafisa wa TRA
'POLISI FEKI' AFIKISHWA MAHAKAMANI KWA KUMPIGA 'POLISI WA KWELI'
Mwanaume ambaye alijifanya kuwa afisa wa polisi kutoka makao makuu ya polisi Kenya amefikishwa mahakamani kwa makosa ya kumpiga na kumjeruh...
WCF YAENDESHA KIKAO KAZI NA MSEMAJI MKUU WA SERIKALI
Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya habari-MAELEZO ambaye pia ndiye Msemaji Mkuu wa Serikali, Bw. Gerson Msigwa (aliyesimama), akizungumza katika ki...
NILIKUWA NATEMBEA NDOTONI HADI MAJIRANI WAKANIITA MCHAWI
Kuna baadhi ya mambo ni vigumu sana ya kuyaelezea kwa watu na ukaeleweka kwa urahisi, hasa pale jambo hilo linapohusisha imani za kishirikia...
Monday, June 20, 2022
NYANI WAMVAMIA MAMA AKINYONYESHA NA KUMPOKONYA MTOTO MCHANGA ....WAMUUA
Mtoto mmoja Magharibi mwa Tanzania, amefariki dunia baada ya kuumia kichwa na shingo kwenye tukio la kushangaza la kuvamiwa na kundi la nyan...
Author Details
Malunde 1 blog ni blog ya Kiswahili maarufu duniani kwa habari za Matukio, Siasa, Magazeti, Nyimbo za asili na habari za kusisimua.