MALUNDE 1 BLOG - burudani MALUNDE 1 BLOG: burudani - All Post
Showing posts with label burudani. Show all posts
Showing posts with label burudani. Show all posts

Thursday, September 26, 2019

WASANII WA BONGOFLEVA WAWASHA MOTO KATIKA TAMASHA LA JAMAFEST DAR ES SALAAM

WASANII WA BONGOFLEVA WAWASHA MOTO KATIKA TAMASHA LA JAMAFEST DAR ES SALAAM

Wasanii wa muziki wa Kizazi kipya wa kundi la TMK Wanaume Family wakiongozwa na Mhe. Temba akiogoza jahazi kutoa burudani ndani ya kati...
Video : ROSA REE X SPICE DIANA - JANGU ONDABE REMIX

Video : ROSA REE X SPICE DIANA - JANGU ONDABE REMIX

VIDEO: Rosa Ree X Spice Diana - Jangu Ondabe Remix

Wednesday, September 25, 2019

Tuesday, September 24, 2019

TIGO YAZINDUA PROMOSHENI YA TIGO CHEMSHA BONGO,KANDA YA ZIWA

TIGO YAZINDUA PROMOSHENI YA TIGO CHEMSHA BONGO,KANDA YA ZIWA

Mkurugenzi wa Tigo kanda ya Ziwa Uthmaan Madati(katikati) akizungumza na waandishi wa habari jijini Mwanza, wakati wa ufunguzi wa msim...

Monday, September 23, 2019

MSANII H BABA, AHAMISHIA NGUVU ZAKE KWENYE SOKA

MSANII H BABA, AHAMISHIA NGUVU ZAKE KWENYE SOKA

Na Fabian Fanuel, Mwanza. MSANII Maarufu wa Muziki wa Bongo Flava asiyechuja kutoka Mabatini Mwanza H Baba ameendeleza utaratibu wak...

Sunday, September 22, 2019

Picha : MAKAMU WA RAIS AFUNGUA TAMASHA LA JAMAFEST 2019 JIJINI DAR ES SALAAM

Picha : MAKAMU WA RAIS AFUNGUA TAMASHA LA JAMAFEST 2019 JIJINI DAR ES SALAAM

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akipiga ngoma kuashiria ufunguzi wa Tamasha la JAMAFEST lilil...
WAWAKILISHI WA JAMAFEST NA URITHI FESTIVAL WAPELEKA NGAO ZA MATAMASHA HAYO KILELE CHA UHURU MLIMA KILIMANJARO

WAWAKILISHI WA JAMAFEST NA URITHI FESTIVAL WAPELEKA NGAO ZA MATAMASHA HAYO KILELE CHA UHURU MLIMA KILIMANJARO

Wawakilishi matamasha makubwa kwa nchi za Afrika Mashariki kutoka kushoto Joel Acana kutoka nchini Uganda,Anita Brown wa Tanzania ,Lu...

Saturday, September 21, 2019

Video Mpya : ROSTAM FT. NAY WA MITEGO - KIJIWE NONGWA

Video Mpya : ROSTAM FT. NAY WA MITEGO - KIJIWE NONGWA

Video:  Rostam Ft. Nay wa Mitego - KIJIWE NONGWA

Thursday, September 19, 2019

UZINDUZI WA MBIO ZA ROCK MARATHON 2019 WAFANYIKA MWANZA

UZINDUZI WA MBIO ZA ROCK MARATHON 2019 WAFANYIKA MWANZA

Na Fabian Fanuel - Malunde 1 blog Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana Mkoa wa Mwanza Dkt. Phillis Nyimbi leo amezindua mbio ndefu za Rock Cit...

Wednesday, September 18, 2019

Video : MBOSSO FT. REEKADO BANKS – SHILINGI

Video : MBOSSO FT. REEKADO BANKS – SHILINGI

 VIDEO : Mbosso Ft. Reekado Banks – Shilingi
Wimbo Mpya : ASLAY – NAENJOY

Wimbo Mpya : ASLAY – NAENJOY

Wimbo Mpya wa  Aslay – Naenjoy

Saturday, September 14, 2019

Full Time : YANGA 1-1 ZESCO UNITED, LIGI YA MABINGWA AFRIKA

Full Time : YANGA 1-1 ZESCO UNITED, LIGI YA MABINGWA AFRIKA

Yanga SC imelazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na Zesco United ya Zambia katika mchezo wa kwanza wa hatua ya mwisho ya mchujo wa kuwani...

Friday, September 13, 2019

MWILI WA MCHEKESHAJI MAARUFU BOSS MARTHA WAZIKWA DAR

MWILI WA MCHEKESHAJI MAARUFU BOSS MARTHA WAZIKWA DAR

Mwili wa mchekeshaji maarufu nchini Tanzania(Stand Up Comedian) aliyepata umaarufu kupitia Kipindi cha Cheka Tu kinachoongozwa na Coy M...

Thursday, September 12, 2019

FILAMU YA MIMI SIYO MWEHU KUZINDULIWA RASMI JUMATANO SEPTEMBA 18,2019

FILAMU YA MIMI SIYO MWEHU KUZINDULIWA RASMI JUMATANO SEPTEMBA 18,2019

Unaikumbuka ile Filamu ya Laana ya Mke iliyoigizwa na wasanii kutoka mkoa wa Shinyanga ambayo hivi karibuni ilifanikiwa kushinda Tuzo ya He...

Wednesday, September 11, 2019

MISS TANZANIA 2019 AAHIDI KUTUMIA KISWAHILI MASHINDANO YA MISS WORLD

MISS TANZANIA 2019 AAHIDI KUTUMIA KISWAHILI MASHINDANO YA MISS WORLD

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amemtaka Miss Tanzania 2019, Sylivia Bebwa (19) ahakikishe anakuwa balozi mzuri wa kutangaza vivutio vya u...

Monday, September 9, 2019

HARMONIZE AFUNGA NDOA KISIRI BILA WASAFI

HARMONIZE AFUNGA NDOA KISIRI BILA WASAFI

Nchini Tanzania, msanii Rajab Abdul Kahali kwa jina maarufu Harmonize amefunga ndoa na mchumba wake ambaye ni raia wa Italia, Sarah Mic...

Friday, August 30, 2019

WAZIRI MWAKYEMBE AAGIZA KUSAKWA KWA WASHEREHESHAJI WA HARUSI 'MA MC' WASIO NA VITAMBULISHO

WAZIRI MWAKYEMBE AAGIZA KUSAKWA KWA WASHEREHESHAJI WA HARUSI 'MA MC' WASIO NA VITAMBULISHO

Waziri wa Habari,Sanaa, Utamaduni na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe akizungumza  katika mkutano na wadau wa sekta ya habari Utamaduni, Sa...

Thursday, August 29, 2019

PROFESSOR J NA PRODUCER P-FUNK MAJANI 'WATEMEANA CHECHE' MITANDAONI

PROFESSOR J NA PRODUCER P-FUNK MAJANI 'WATEMEANA CHECHE' MITANDAONI

Rapa maarufu hapa  nchini ambaye pia ni Mbunge wa Mikumi, Joseph Haule ‘Prof. Jay’,   ameibuka na kuikanusha vikali taarifa ya Chama ch...
Video Mpya : HARMONIZE NA EDDY KENZO – INABANA

Video Mpya : HARMONIZE NA EDDY KENZO – INABANA

Video Mpya ya Harmonize na Eddy Kenzo – Inabana
Video Mpya : MAUA SAMA – NITEKE

Video Mpya : MAUA SAMA – NITEKE

Video Mpya ya Maua Sama – Niteke