MALUNDE 1 BLOG - afya MALUNDE 1 BLOG: afya - All Post
Showing posts with label afya. Show all posts
Showing posts with label afya. Show all posts

Monday, September 2, 2019

ZAIDI YA WANANCHI 800 WA WILAYA YA KISARAWE WAJITOKEZA KUPATA HUDUMA YA AFYA BURE

ZAIDI YA WANANCHI 800 WA WILAYA YA KISARAWE WAJITOKEZA KUPATA HUDUMA YA AFYA BURE

 Dokta Bingwa wa Magonjwa ya Saratani, Dkt Heri Tungaraza ambaye ni madaktari bingwa wa Jumuiya ya Madaktari Watanzania waliosoma China (...
ROGATHE AENDELEA KUOMBA MSAADA WA MATIBABU AMALIZIE DOZI...AWASHUKURU WALIOJITOKEZA MWANZO

ROGATHE AENDELEA KUOMBA MSAADA WA MATIBABU AMALIZIE DOZI...AWASHUKURU WALIOJITOKEZA MWANZO

Muonekano wa ngozi ya Rogathe Kabla ya kuanza kupatiwa huduma ya matibabu

Friday, August 30, 2019

JUMUIYA YA MADAKTARI WATANZANIA WALIOSOMA CHINA (DCAT) YATOA HUDUMA YA AFYA BURE KISARAWE, PWANI

JUMUIYA YA MADAKTARI WATANZANIA WALIOSOMA CHINA (DCAT) YATOA HUDUMA YA AFYA BURE KISARAWE, PWANI

WAKAZI wa Kisarawe wamenufaika na kambi ya kwanza ya kampeni ya uchunguzi na matibabu dhidi ya magonjwa yasiyo ya kuambukiza inayotolew...

Thursday, August 29, 2019

DKT.GWAJIMA ATAKA VIONGOZI WA VIJIJI KUHAMASISHA WANANCHI KUJIUNGA BIMA YA AFYA CHF ILIYOBORESHWA

DKT.GWAJIMA ATAKA VIONGOZI WA VIJIJI KUHAMASISHA WANANCHI KUJIUNGA BIMA YA AFYA CHF ILIYOBORESHWA

Katibu Mkuu ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI)anayeshughulikia Afya Dk.Doroth Gwajima,akizungumza na viongoz...

Wednesday, August 28, 2019

DKT.GWAJIMA ATAKA WAGONJWA WANAOTUMIA CHF ILIYOBORESHWA WATHAMINIWE

DKT.GWAJIMA ATAKA WAGONJWA WANAOTUMIA CHF ILIYOBORESHWA WATHAMINIWE

Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) anayeshughulikia afya Dk. Doroth Gwajima,akizungumza na...

Tuesday, August 27, 2019

WAZIRI WA AFYA, MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO, MHE. UMMY MWALIMU , AZINDUA CHAMA CHA UREMBO NA VIPODOZI

WAZIRI WA AFYA, MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO, MHE. UMMY MWALIMU , AZINDUA CHAMA CHA UREMBO NA VIPODOZI

Waziri wa Afya, Maendeleo ya jamii, wazee, jinsia na watoto Ummy Mwalimu alipotembelea moja ya meza za vipodozi lipotemelea meza ya k...

Sunday, August 25, 2019

NAIBU WAZIRI WA AFYA AAGIZA UTEKELEZAJI MAJUKUMU KAMATI ZA ULINZI WA WANAWAKE NA WATOTO

NAIBU WAZIRI WA AFYA AAGIZA UTEKELEZAJI MAJUKUMU KAMATI ZA ULINZI WA WANAWAKE NA WATOTO

Na Mwandishi Wetu WAMJW Naibu Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile amewaagiza watenda...

Thursday, August 22, 2019

SERIKALI YA MAREKANI YAAHIDI KUSAIDIA MAPAMBANO DHIDI YA UGONJWA WA SELI MUNDU (SICKLE CELL) NCHINI

SERIKALI YA MAREKANI YAAHIDI KUSAIDIA MAPAMBANO DHIDI YA UGONJWA WA SELI MUNDU (SICKLE CELL) NCHINI

Na WAJMW-Brazzaville Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu amekutana na Waziri wa Afya wa Mar...

Monday, August 19, 2019

WAZIRI UMMY MWALIMU KUZINDUA CHAMA CHA UREMBO NA VIPODOZI TANZANIA (TCA) AGOSTI 26,2019

WAZIRI UMMY MWALIMU KUZINDUA CHAMA CHA UREMBO NA VIPODOZI TANZANIA (TCA) AGOSTI 26,2019

WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Mheshimiwa Ummy Mwalimu anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa Chama c...

Friday, August 16, 2019

WAZIRI JAFO AINGILIA KATI SAKATA LA WATUMISHI WA HOSPITALI KULIPISHWA MASHINE YA ULTRASOUND ILIYOIBIWA

WAZIRI JAFO AINGILIA KATI SAKATA LA WATUMISHI WA HOSPITALI KULIPISHWA MASHINE YA ULTRASOUND ILIYOIBIWA

Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Suleiman Jafo ameingilia kata sakata la watumishi wa Hospitali ya Mji wa Bari...
TPA YAKABIDHI MASHINE MBILI KWA AJILI YA KUHIFADHI WATOTO NJITI KWENYE HOSPITALI YA RUFAA YA BOMBO

TPA YAKABIDHI MASHINE MBILI KWA AJILI YA KUHIFADHI WATOTO NJITI KWENYE HOSPITALI YA RUFAA YA BOMBO

 Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) Mhandisi Witonde Philipo kulia akimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Tanga Martine Shig...

Thursday, August 15, 2019

RAS SIMIYU ASITISHA UAMUZI WA DC KUWATAKA WATUMISHI KUCHANGIA FEDHA ZA KUNUNUA MASHINE YA ULTRASOUND ILIYOIBIWA BARIADI

RAS SIMIYU ASITISHA UAMUZI WA DC KUWATAKA WATUMISHI KUCHANGIA FEDHA ZA KUNUNUA MASHINE YA ULTRASOUND ILIYOIBIWA BARIADI

Na Stella Kalinga, Simiyu RS Uongozi wa Mkoa wa Simiyu kupitia kwa Katibu Tawala wa Mkoa, Bw. Jumanne Sagini umesitisha uamuzi wa M...

Tuesday, August 13, 2019

MATUMAINI YA KUPATIKANA DAWA YA KUTIBU UGONJWA WA EBOLA YAANZA KUONEKANA

MATUMAINI YA KUPATIKANA DAWA YA KUTIBU UGONJWA WA EBOLA YAANZA KUONEKANA

Wizara ya Afya katika jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo imesema dawa mbili za majaribio ya kuutibu ugonjwa wa Ebola zinaonekana kuyanusu...

Thursday, August 8, 2019

HOSPITALI YENYE HADHI YA KUWA HOSPITALI YA RUFAA YAFUNGULIWA KIJIJI CHA MARUA -KILIMANJARO

HOSPITALI YENYE HADHI YA KUWA HOSPITALI YA RUFAA YAFUNGULIWA KIJIJI CHA MARUA -KILIMANJARO

Hospitali mpya ya St Monica iliyojengwa na Taasisi ya Kirua Children Care Foundation katika kijiji cha Marua ,kata ya Kirua Vunjo Maghari...

Wednesday, August 7, 2019

DODOMA WAADHIMISHA WIKI YA UNYONYESHAJI DUNIANI...SAVE THE CHILDREN YATAKA MASHIRIKA,TAASISI KUTENGA VYUMBA VYA KUNYONYESHEA

DODOMA WAADHIMISHA WIKI YA UNYONYESHAJI DUNIANI...SAVE THE CHILDREN YATAKA MASHIRIKA,TAASISI KUTENGA VYUMBA VYA KUNYONYESHEA

Shirika la Kimataifa la Kuhudumia watoto la Save The Children kupitia mradi wake wa Lishe Endelevu unaolenga kuimarisha hali ya lishe k...

Tuesday, August 6, 2019

DR. GWAJIMA ATUMIA “ VIDEO CONFERENCE ” KUTOA MAAGIZO KWA WAJUMBE 234 WA TIMU ZA UENDESHAJI HUDUMA ZA AFYA MIKOA

DR. GWAJIMA ATUMIA “ VIDEO CONFERENCE ” KUTOA MAAGIZO KWA WAJUMBE 234 WA TIMU ZA UENDESHAJI HUDUMA ZA AFYA MIKOA

Na. Angela Msimbira OR-TAMISEMI Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa  anayeshughulikia afya Dkt. Do...
CHANJO KUZUIA UGONJWA WA MAPAFU YA NG’OMBE YAINGIA SOKONI, YA KICHAA CHA MBWA MBIONI KUZALISHWA NCHINI

CHANJO KUZUIA UGONJWA WA MAPAFU YA NG’OMBE YAINGIA SOKONI, YA KICHAA CHA MBWA MBIONI KUZALISHWA NCHINI

Na. Edward Kondela Serikali kupitia Wizara ya Mifugo na Uvuvi imetoa wito kwa wananchi hususan wafugaji kuchanja ng’ombe wao dhidi ...

Monday, August 5, 2019

WAZIRI UMMY ARIDHISHWA NA KASI YA UJENZI WA HOSPITALI YA WILAYA YA TANGA

WAZIRI UMMY ARIDHISHWA NA KASI YA UJENZI WA HOSPITALI YA WILAYA YA TANGA

 WAZIRI wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto na Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Tanga(CCM) Ummy Mwalimu akizungumza wakati...

Saturday, August 3, 2019

JESHI LA POLISI MOROGORO LAKAMATA VIPODOZI VYENYE SUMU

JESHI LA POLISI MOROGORO LAKAMATA VIPODOZI VYENYE SUMU

Jeshi la Polisi mkoani Morogoro kwa kushirikiana na Mamlaka ya Mapato Tanzana ( TRA), limekamata katoni 230 za aina 11 tofauti ya vipod...