MALUNDE 1 BLOG - `habari MALUNDE 1 BLOG: `habari - All Post
Showing posts with label `habari. Show all posts
Showing posts with label `habari. Show all posts

Saturday, October 16, 2021

WILAYA YA HANANG KUWA NA WIKI YA MAENDELEO NOVEMBA 1 HADI NOVEMBA 5, 2021

WILAYA YA HANANG KUWA NA WIKI YA MAENDELEO NOVEMBA 1 HADI NOVEMBA 5, 2021

Mkuu wa Wilaya ya Hanang mkoani Manyara,  Janeth Mayanja (katikati) akipokea mmoja wa mfuko wa saruji kati ya 200 iliyotolewa na Kampuni ya ...

Wednesday, October 13, 2021

TANZANIA YASHIRIKI JUKWAA LA SITA LA KIMATAIFA KUHUSU MSAADA WA KISAIKOLOJIA

TANZANIA YASHIRIKI JUKWAA LA SITA LA KIMATAIFA KUHUSU MSAADA WA KISAIKOLOJIA

Mwenyekiti wa Bodi ya REPSSI Tanzania, Jeanne Ndyetabura akifungua Jukwaa la Kimataifa la Msaada wa Kisaikolojia (PSS FORUM) jijini Dar es S...

Tuesday, October 12, 2021

MAVUNDE AISHUKURU SERIKALI KWA UTEKELEZAJI  WA MIRADI YA ELIMU KUPITIA TEA

MAVUNDE AISHUKURU SERIKALI KWA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA ELIMU KUPITIA TEA

Mbunge wa Dodoma Mjini Anthony Mavunde (mwenye fulana rangi nyekundu katikati ) akifurahia jambo na baadhi ya Waalimu wa Shule ya Msingi Med...

Sunday, October 10, 2021

KAMPUNI YA SUKARI YA KAGERA YAONGOZA KATIKA MKOA WA KAGERA KATIKA UWASILISHAJI MICHANGO NSSF

KAMPUNI YA SUKARI YA KAGERA YAONGOZA KATIKA MKOA WA KAGERA KATIKA UWASILISHAJI MICHANGO NSSF

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Uratibu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Jenista Mhagama (kulia) akizungumza n...
SHIRIKA LA TREES FOR THE FUTURE TANZANIA LAPANDA MITI MILIONI 8 SINGIDA

SHIRIKA LA TREES FOR THE FUTURE TANZANIA LAPANDA MITI MILIONI 8 SINGIDA

Mtaalam wa Kilimo wa Taasisi  isiyo ya Kiserikali ya Trees for the Future Tanzania, Ezekiel Shirima (kushoto) akimkabidhi mti Mbunge wa Jimb...