tag:blogger.com,1999:blog-330087426373770002.post4761527659040202898..comments2024-03-28T14:45:22.374+03:00Comments on MALUNDE 1 BLOG: PAMBA SIMIYU KUNUNULIWA KWA SOKO HURIA....MFUMO WA USHIRIKA "HAPANA' Videohttp://www.blogger.com/profile/17260839227848220850noreply@blogger.comBlogger1125tag:blogger.com,1999:blog-330087426373770002.post-55657757370251428062022-05-23T18:32:49.685+03:002022-05-23T18:32:49.685+03:00Kama serikali haitojenga mtazamo wapamoja katika m...Kama serikali haitojenga mtazamo wapamoja katika masuala ya kimaendeleo tutazidi kuyumba. Ushirika ni mali ya wanachama na inasimamiwa na wanachama wanaochanguliwa kuwa viongozi.

Unapousema ushirika unamsema mkulima ambaye ndiye mwanachama.

Sasa usimamizi unautoa kwa mkulima unaupeleka kwa mnunuzi inabidi kutuonedha namna utakavyofanya udhibiti wa udanganyifu na unyonyaji kwa mkulima kwa miaka yote na unafuu wa gharama kwa njia hizo!

Kumbuka kampuni ni watafuta faida zaidi hivyo lazima wadhibitiwe kikamilifu maana kwa mwaka huu wanaweza kujifanya wema ili kuuvunja nguvu ushirika kisha ukishakufa watakunjua makucha yao. Anonymousnoreply@blogger.com