
Timu ya Simba imepoteza mchezo wa pili Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Stade Malien ya nchini Mali baada ya kuruhusu mabao 2-1.
Katika mchezo huo wa kundi D uliopigwa katika dimba la 26 Mars, mabao ya Stade Malien yamefungwa na Nkeng 16’ na Simpara 23’ huku bao pekee la Simba likifungwa na Neo Maema 53’.*
Social Plugin