WIKI YA MTONYOOOO!! NA M - BET

 

Maisha bila mpunga wa kutosha hayasongi! Huyo babe nyumbani sijui utampa nini za matumizi, mafuta ya gari, nauli za daladala na vibomu vya hapa na hapa kwa washikaji.


 

M-Bet inakupa mchongo wa wiki kukufanya ujae mifukoni na hizi game wiki hii hazikuangushi!

 

Yanga watakuwa na kibarua kingine Jumatatu hii cha kujibu maswali ya Ihefu leo ambao watahitaji kuzipata alama tatu ili kusogea kwenye nafasi za juu zaidi mwa msimamo, Azam  watakipiga na Kagera Sugar.

 

Jumapili  nayo ni ya moto, mzuka utakuwa kwenye mechi Simba waliouanza msimu huu vizuri kweli, watakuwa nyumbani dhidi ya Mbeya City.

 

Game zingine zitakazo kuwa na mpunga mrefu Liverpool, Chelsea, Aesenal wanakipiga , Manchester atakiwasha mbaya na zote ziko ndani ya site ya nyumba ya mabingwa.

 

Kama hiyo haitoshi M-Bet inakupa fursa nyingine ya kupiga mtonyo wa maana kupitia M-Bet Cassino na kuna michezo ya kila aina itakayokupa mitonyo ya maana bila wasiwasi.

 

Kuna michezo rahisi kama Speciman, Lucky Crumbling na mingine kibao maarufu.

 

“Hii ni ya kwanza hapa M-Bet.Tumeamua kuwapa wateja wetu uhuru wa kupata burudani na kushinda zaidi kwa kutumia kiasi kidogo tu cha pesa,” anasema Mkurugenzi wa Masoko, Allen Mushi.

 

M-Bet ambayo ni mdhamini wa klabu ya Simba kwa udhamini wa miaka mitano mfululizo wenye thamani ya Bilioni 26 inajulikana kwa kutoa mamilinionea kupitia Jackpot ya Perfect12.

 

Moja ya hizo ni Perfect 12 jackpot ambayo inakuwezesha kushinda zaidi ya milioni 270 kwa buku tu.

 

 

Mrisho Selemani

 

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527

0/Post a Comment/Comments