CHUO CHA CCOHAS ILALA KINATANGAZA NAFASI ZA MASOMO DIPLOMA YA UFAMASIA NA UTABIBU | MALUNDE 1 BLOG

Thursday, July 22, 2021

CHUO CHA CCOHAS ILALA KINATANGAZA NAFASI ZA MASOMO DIPLOMA YA UFAMASIA NA UTABIBU

  Malunde       Thursday, July 22, 2021

City College Of Health And Allied Sciences (Ilala Campus) kilichopo Jijini Dar es salaam ni Chuo cha Afya chenye ubora wa hali ya juu na kimesajiliwa na NACTE kwa namba REG/HAS/213 pia kinatambulika na Wizara ya Afya. Chuo kinakutangazia nafasi za masomo  kwa muhula wa  mwezi Septemba ,2021.

City College Of Health And Allied Sciences (Ilala Campus kinatoa kozi zifuatazo;

Ordinary Diploma in Clinical Medicine : Miaka 3.

Vigezo: Muombaji awe na ufaulu wa alama D au zaidi kwenye masomo manne ikiwemo Biology,Chemistry na Physics. 

Ordinary Diploma In Pharmacetical Science :  Miaka 3

 Vigezo: Muombaji awe na ufaulu wa alama D au zaidi kwenye masomo manne ikiwemo Biology na Chemistry.

Ada ni shilingi 1,600,000/= na inalipwa kwa awamu nne.

 Chuo kinatoa Hostel bure kwa wanafunzi wote.

Maombi yatumwe moja mwa moja chuoni kupitia Link hii⇛ application.ilalacollege.ac.tz

Au tupigie kwa simu ,0742888333 au 0677898989


Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post