Video : HOTUBA NZITO ILIYOMPA USHINDI MH. MASELE KUWA MAKAMU WA RAIS BUNGE LA AFRIKA


Miongoni mwa habari kubwa wiki hii ni kuhusu Mbunge wa Jimbo la Shinyanga Mjini (CCM), Mheshimiwa Stephen Masele kuchaguliwa kwa kishindo kuwa Makamu wa Rais wa Bunge la Afrika (PAP).

Uchaguzi huo ulifanyika Mei 10, 2018 nchini Afrika Kusini.

Nimekuwekea hapa Hotuba ya Mheshimiwa Masele iliyompa ushindi. 
Tazama video hapa chini
Theme images by rion819. Powered by Blogger.