Video mpya : A DIZZO Ft BHUDAGALA - KABHULA...NGOMA MATATA MAJANGA YA WANAFUNZI


Nakualika kuzama video mpya ya msanii wa Nyimbo za asili A Dizzo "Wa Machale" kutoka Katoro mkoa wa Geita amemshirikisha Bhudagala Mwanamalonja kutoka Serengeti mkoani Mara wimbo unaitwa Kabhula...Tazama video hii hapa chini
Theme images by rion819. Powered by Blogger.