MARTHA MWAIPAJA : SIJAWAHI KUONA WANAFANYIA SEBULENI

Muimbaji wa nyimbo za Injili jijini Dar es salaam Martha Mwaipaja amefunguka na kusema kuwa katika dunia ya sasa watu wamekuwa wakifanya sana dhambi na kuzini ili hali wanatambua kuwa kufanya hivyo ni makosa lakini wamekuwa wakimsingizia shetani. 

Martha Mwaipaja amesema hayo alipokuwa kwenye kipindi cha KIKAANGONI kinachorushwa kupitia ukurasa wa facebook wa EATV na kudaikwamba yeye amekuwa hawaelewi watu ambao wanafanya zinaa halafu wanasema wamepitiwa na shetani na kudai kuwa hilo jambo si kweli kwani wao wanapofanya hivyo wanakuwa wanatambua na kupanga kufanya tendo hilo ndiyo maana hawawezi kulifanya wakiwa sebuleni.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527