Monday, April 16, 2018

BAADA YA NANDY NA BILLNAS......DIAMOND NA HAMISA MOBETTO WATUPIA VYA MAHABA MTANDAONI

  Malunde       Monday, April 16, 2018
Staa wa muziki wa Bongo fleva Diamond Platnumz amerudi upyaa Kwenye headlines baada ya video zake za mahaba na Baby mama wake msanii Hamisa Mobetto kusambaa mtandaoni siku ya jana.

Jana Diamond na Hamisa wameonekana pamoja katika chumba kimoja huku wakikumbatiana na kushikana kitendo kilichoibua maswali mengi kwani kiukweli haijajulikana kama wapo pamoja au ni kiki.Hii imetokea ikiwa ni wiki mbili tangu wawili hao walipokutana live kwenye Tuzo za SZIFF pale Mlimani City Dar ambapo Diamond alimkumbatia mwanamama huyo na kupigana mabusu motomoto mbele ya umati uliofika kushuhudia tukio la tuzo hizo.

Ni siku  chache tu video ya mahaba kati ya Nandy na Bill Nas ilizagaa mtandaoni.


Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
Loading...
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post