Saturday, April 7, 2018

ASKOFU KAKOBE ATAKIWA KURIPOTI UHAMIAJI JUMATATU

  Malunde       Saturday, April 7, 2018

 
Askofu Mkuu wa Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship (FGBF), Zachary Kakobe amesema ameitwa kuhojiwa na Idara ya Uhamiaji siku ya Jumatatu, Aprili 9, 2018.


Akizungumza lleo Jumamosi Aprili 7, 2018 Askofu Kakobe amesema ataitikia wito huo.

“Wamenieleza kuwa wananiita kwa sababu ya mahojiano hivyo nitakwenda tu hakuna shida. Wameniita Uhamiaji mkoa wa Dar es Salaam,”amesema Kakobe.

Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
Loading...
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post