Thursday, February 1, 2018

SANCHES ASHINDWA KUIBEBA MAN U,GIROUD AINGIA NA MKOSI CHELSEA

  mtilah       Thursday, February 1, 2018


Klabu ya Manchester United usiku wa kuamkia Leo Alhamisi imepoteza mchezo wake wa kwanza wa EPL dhidi ya Spurs ikiwa na mshambuliaji wake mpya Alexis Sanchez aliyehama kutoka Arsenal.
Man united wamekubali kipigo cha goli 2-0, magoli yaliyofungwa na P.Jones goli la kujifunga na Eriksen.
Matokeo mengine Chelsea wamekubali kipigo cha goli 3-0 dhidi ya AFC Bournemouth wakiwa nyumba Stanford Bridge.
Magoli ya Bournemouth yamefungwa na Wilson, Ake na Stanislas.
Vinara wa ligi hiyo Manchester  City wameendeleza ubabe kwa ushindi wa goli 3-1 dhidi West Brom Albion.
Kwa matokeo hayo ya Jana Man City wameongeza gepu la pointi 15 dhidi ya Man United waliopo nafasi ya pili kwenye msimamo wa EPL.
Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
Loading...
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post