Video Mpya : LUNDUMA Ft KIDOMELA - NGIKULU FASTA...BIBI ANALILIA PENZI


Ninayo video mpya inaitwa Ngikulu Fasta kutoka kwa msanii wa nyimbo za asili,Lunduma amemshirikisha Kidomela..Video hii imetengenezwa katika studio za Kalunde Media zilizopo Mwanza.Wimbo unahusu majanga ya mapenzi siku ambapo Lunduma kaeleza namna yanavyotesa hadi wazee
Tazama video hii hapa chini

Theme images by rion819. Powered by Blogger.