RADI YAUA WANAFUNZI WATATU WA SHULE YA SEKONDARI HUKO SONGWE

Wanafunzi watatu wa shule ya secondari Ndyuda iliyopo katika Mji Mdogo wa Mlowo Wilaya ya Mbozi Mkoani Songwe wamefariki dunia kwa kupigwa na radi ya mvua iliyonyesha jioni hii. 


Dr. Janneth Makoye mganga mkuu wa hospitali ya wilaya ya Mbozi amethibitisha kuwa watoto hao wamefikishwa hospitali ya Vwawa wakiwa tayari wamefariki.

Theme images by rion819. Powered by Blogger.