Kama kawaida yetu kila weekend tunakusogeza karibu na wasanii wa nyimbo za asili…Leo Malunde1 blog inakukutanisha na Msanii Nyanda Gatuso kutoka Mhunze wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga.Video yake inaitwa “Kashamba ka Bhuluba” kwa lugha ya Kisukuma ikiwa na maana ya “Shamba la Pamba” kwa lugha ya Kiswahili.Video hii imetengenezwa katika studio za BFaster zilizopo mjini Bariadi mkoani Simiyu..Msanii Nyanda Gatuso kazungumzia namna wakulima wanavyonyanyasika,amemtaja pia rais wa Tanzania.
Tazama Video hii hapa chini
Social Plugin