Ni katikati ya mji wa Shinyanga ambapo katika pitapita zake kamera za Malunde1 blog zikanasa wanyama aina ya punda wakikatiza na kujitafutia chakula katikati ya mji huku wenye mfugo hiyo wakiwa hawajulikani na mamlaka zinazohusika kusimamia sheria na taratibu za manispaa ya Shinyanga zikiwa zimelala usingizi wa pono na kuchukulia kama kitendo cha kawaida kwani kuna madai kuwa wanyama wengi wamekuwa wakizagaa mjini na hawaeleweki kuwa ni wa nani
Gari ikijaribu kukwepa punda.Inaelezwa kuwa wanyama wengi aina ya punda na ng'ombe wamekuwa wakionekana wakizurura nyakati za mchana na usiku hali ambayo inatajwa kuwa chanzo cha ajali za barabarani.
Hapa ni katika eneo la Uwanja wa Basketball Mazingira Senta mjini Shinyanga
Punda akiwa karibu na barabara
Mpenzi Msomaji wetu,Tunapenda kukutumia Habari zetu zote mara tu Tunapoziweka Mtandaoni.Kujiunga nasi Bonyeza Hapa "HABARI"VITUKO"MAPENZI", MAGAZETI,UDAKU>
Endapo una Habari,Picha,Video,Tangazo au Tatizo Lolote wasiliana nasi kwa namba +255 688 405 951
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundeblog@gmail.com
🚧🚦 Usiendeshe gari lako bila Mafunzo na Leseni halali_ 📲 Wasiliana nasi sasa: wa.me/255740273285 Unahitaji nini? 🚘 Unataka kujifunza udereva wa magari na kupata Cheti? 📄 Una cheti unataka kupata Leseni? 🔄 Unajua kuendesha lakini huna cheti wala leseni na unataka refresh upate cheti? 🛣️ Una nyaraka zote muhimu lakini unahitaji kujifua zaidi barabarani? ✅ Una Leseni bila cheti na unataka renew? 🌍 Tupo mikoa yote Tanzania hadi vijijini! 📞 Tupigie sasa: 0769 763 285
Social Plugin