Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

Makubwa Haya!! MWANAMKE AFANYIWA UKATILI ETI KISA KWANINI HAJAZAA MTOTO KAHABA

Wanawake makahaba wa India

Polisi Mashariki mwa mji wa Calcutta nchini India, wanachunguza tukio la mwanamke ambaye jamii yake ilimtelekeza katika bwawa,kwa kushindwa kuzaa mtoto wa kike ambaye baadaye walimtegemea kuwa kahaba.
Mwanamke huyo aliokolewa na chama cha kujitolea kuwahudumia makahaba kabla hajalazimika kujitosa kwenye ukahaba kamili.
Mwanamke huyo aliiambia BBC kwamba familia ya wakwe zake walianza kumdhihaki baada ya kuzaa watoto wa kiume watatu mfululizo, na kufahamishwa kwamba familia hiyo kwa kawaida huwapeleka watoto wa kike wa ukoo wao kufanya kazi ya ukahaba, iweje yeye azae watoto wakiume watupu?
Mtandao Huu Unakujali,Ni Wako!! Tunataka Tukutumie Habari zetu Zote Mara Tu Tunapozipandisha Mtandaoni.Kujiunga nasi Bonyeza Hapa Sasa Hivi ><<VITUKO>>,"MAPENZI",<<HABARI MSETO>>  Pia waweza kuwasiliana na Malunde kwa simu/Whatsapp +255 688 405 951 Kama una habari ,picha au Tangazo

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundeblog@gmail.com