Tunaarifiwa kuwa Bilionea mmoja huko Nigeria ameliwekea urembo gari la Hummer yenye thamani ya
dola 1,000 na kumzika nayo mama yake katika mji wa Enugu nchini Nigeria.
Katika siku za hivi karibuni picha za mtu ambaye alizikwa ndani ya gari aina ya Hummer SUV Jeep nchini Nigeria zimekuwa zikienea katika mitandao ya kijamii na kuzua mjadala miongoni mwa raia wengi wa taifa hilo.
Gari la Hummer lililobeba mwili wa marehemu likiingizwa kaburini
Picha hizo zilitoka katika mtandao wa twitter wa msichana mmoja raia wa Kenya anayetumia jina @Sankorie katika mtandao wake ambaye alishangazwa na kusema kuwa wanaume wa Nigeria ni matajiri hadi wengine huzikwa ndani ya magari yenye thamani ya juu,swala ambalo haliwezi kufanyika nchini Kenya.
Habari za Mapenzi,Simulizi za Mapenzi na Visa vya Mapenzi utazipata Kwa Kubofya Hapa
Social Plugin