Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

KAMERA ZETU LEO KATIKA MANISPAA YA TABORA

Katika pita pita zake leo kamera za Malunde1 blog zimenasa basi hili la chuo cha Kilimo MATI-TUMBI katika manispaa ya Tabora likiwa linakatiza katika kijiji cha Tumbi katika manispaa  hiyo.Wenyeji wa eneo hilo wanasema kipindi wanafunzi wa Chuo hawapo chuoni(wamefunga) basi hilo hutumika kusafirisha wakazi wa eneo hilo kwenda maeneo mbalimbali

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundeblog@gmail.com