Bahati Mayala (37) Katibu mwenezi wa Chadema kata ya Rigicha wilaya ya Serengeti akiwa hospitalini kufuatia kupigwa mshale mgongoni akiwa anatoka mkutano wa kampeni
MAONI YA WANAMTANDAO
- 57 of 97
- Mathias Shayo Pole kamanda Mungu akupe nafuu ya mapema. Hiyo ndo dalili kuwa jamaa wameshindwa kuwa na hoja na kwa hivyo wakeshaona kila dalili ya kutopata kitu serekali za mitaa. kaka umewabana vilivyo mpaka majibu yawe mshale!
- Moses Mhitike Pole Bahati Mayala kazi ya ukombozi no ngumu, lakini Mungu mwema tutaikomboa nchi tu, jepe moyo, tunakuombea uzima
- Songela Sungwa Pole ndg,safari ya mafanikio hakisi vikwazo,ipo siku hautayasikia haya.ugua pole,safari ya Demokrasia ni ndefu.
- Christopher Masika Watanzania hili jambo halikubaliki hata kidogo, huu ni unyama usiomithilika katu. Kwa vyovyote uwezekano wa wapinzani wa kila chama hapo wanahusika. Haiwezekani mwanaccm akamchinja mwanaccm mwenzie kama kuku hivyo,no dhahiri wapinzani wao ndio waliofanya hivyo.
Kadhalika haiyumkiniki wanacdm kumrushia mshale mwenzao,haiingii akilini katu. Naomba kutoa rai kwa wananchi wenzangu,siasa za kumwaga damu no siasa hatari sana na no kupanda mbegu za damu na alama za ushetani miongoni mwa raia. Matokeo yake tutakuwa na kizazi na vizazi vya vijavyo vya kinyama sana. - Fredrick Stanley Utawala wa mashetani na kua ndio chaguo letu tumechagua kukabili,kupambana ni mapambano ni vita ya haki dhidi makabaila,mafisadi na dhuluma na mungu yu upande wetu.
- Richard Kapinye pole kwa yaliyokukuta lkn naomba niseme neno kwa wa tz tumeona kiongozi wa ccm kachinjwa pia tumeona kiongozi wa cdm kapigwa mshale hii c dariri njema nawaomba watz wote tuweke pembeni itikadi zetu tujadiri suala la amani yetu
titafika wapi kwa kuchinjana na kupigana mishale?
watu msiwe wajinga waweza leo ukawa cdm na kesho ukaenda ccm inakuaje kuuana?
TANZANIA KWANZA - Pembe Msafiri Hizo ndo Siasa Majitaka,Hoja hawajibu bali Vurugu tuu.Hiyo Damu yaenda kuwamaliza tar 14/12/14.Pole KAMANDA
- Gervas Karasha Mungu baba mwingi wa rehema jioni ya leo nakushukulu kwa kutenda miujiza ya kumnusulu na mauti kamanda Bahati katika harakati za ukombozi wa taifa letu. Mungu baba naomba mkono wako wa baraka ukaponye majeraha yote ukavunje nguvu na mamlaka ya ibirisi CCM .Mungu baba wape moyo wa fadhira ma dactar na wauguzi wote walio jitolea kwa jitihada zao katika kufanikisha uhai wa mwanaharakati Bahati analejea ktk khali yake ya kawaida.
j - James Mzinga HAKUNA DAMU ONAYOMWAGIKA BURE!
SIKU ZOTE MUNGU HUINHILIA KATI NA MAJIBU YAKE HIWA HAYAZIDI MIAKA 3 - Sarah Materu Ccm huu ndio mwisho wao hata wakipiga watu na mishale haiwasaidi kitu wakatuma watu wakafanye fujo kwenye mdaharo wa warioba baada ya kujua wananch wanaambiwa ukweli kuhusu uchakachuaji waliofanya ccm wa katiba wakaona walipe pesa vijana waje wafanye fujo wataishia kutapatapa tu Mungu msimamie ndugu yetu Bahati kwenye uponyaji
- George Robert Ng'winamila Hii ndio shida ya ccm kuiba ni kazi yao na bado watupige,Pole kamanda damu hii itaria juu yao.
- Hasani Mrisha Pole sana kamanda hakika ktk kupigania haki na ukombozi huwa tunawindwa na wapinga maendeleo na mafisadi,hivyo lazima tupambane mpaka tushide vinginevyo tutaendelea kuteswa mpaka mwisho wa maisha yetu.BETER TO DIE THAN TO SAFER
- Silas Sembiko Pole kamanda, hila km hizi hazipaswi kurudisha nyuma harakati za mapinduzi ya kifikra kwa waTZ!
- Ahmed Brek wanadhani CHADEMA ni huyo mwenyekiti tu?ni wa TANZANIA sote tupigeni mishale na ma bomu kwakua tuna ikataa ccm?hamuna chakuwadanganyia tena watanzania na hicho kitendo ni picha wazi kua ccm imefilisika kisiasa kitendo cha aibu aibu ccm
- Manase Mimbijaphet Na mm ni mgombea wa mw.kiti wa kijiji kwa niaba ya wagombea wote tz kwa tiket ya cdm nalaani kitendo hicho cha kinyama





















































Social Plugin