![]() |
| Baadhi ya wananchi na wadau wa Afya wakifanya maandamano wakati wa Uzinduzi wa kampeni ya NYOTA YA KIJANI uliofanyika eneo la kumbukumbu ya Mwl.Nyerere Tabora mjini. |
![]() |
![]() |
| Katibu tawala mkoa wa Tabora Bi.Kudra Mwinyimvua akizungumza katika uzinduzi huo ambapo aliwataka akina mama kujitokeza kutumia huduma za uzazi wa mpango.
Mtandao Huu Unakujali,Ni Wako!! Tunataka Tukutumie Habari zetu Zote Mara Tu Tunapozipandisha Mtandaoni.Kujiunga nasi Bonyeza Hapa Sasa Hivi ><<VITUKO>>,"MAPENZI",<<HABARI MSETO>> Pia waweza kuwasiliana na Malunde kwa simu/Whatsapp +255 688 405 951 Kama una habari ,picha au Tangazo
|







Social Plugin