Waswahili
walisema ajali haina kinga ila hii tunaweza kusema imesababishwa na
uzembeee... ni pale dereva wa gari hili alipokuwa mwendo wa kasi huku
akijaribu kumkwepa dereva wa bodaboda na kujikuta amevamia uzio wa ofisi
za SUMATRA zilizoko barabara ya Ali Hassan Mwinyi jijini Dar es salaam na kujikuta amepenya
ndani kupitia uzio.
Vijana wakijaribu kumkwamua aweze kutoka.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundeblog@gmail.com
🚧🚦 Usiendeshe gari lako bila Mafunzo na Leseni halali_ 📲 Wasiliana nasi sasa: wa.me/255740273285 Unahitaji nini? 🚘 Unataka kujifunza udereva wa magari na kupata Cheti? 📄 Una cheti unataka kupata Leseni? 🔄 Unajua kuendesha lakini huna cheti wala leseni na unataka refresh upate cheti? 🛣️ Una nyaraka zote muhimu lakini unahitaji kujifua zaidi barabarani? ✅ Una Leseni bila cheti na unataka renew? 🌍 Tupo mikoa yote Tanzania hadi vijijini! 📞 Tupigie sasa: 0769 763 285
Social Plugin