WANANCHI WATEMBELEA BANDA LA EGPAF WIKI YA VIJANA MKOANI TABORA
Tuesday, October 14, 2014
Kushoto ni mratibu wa EGPAF mkoa wa Tabora Alphaxard Lwitakubi akitoa elimu kwa wananchi waliotembelea banda la EGPAF jan katika maadhimisho ya wiki ya vijana na uzimaji wa mwenge wa uhuru,maadhimisho hayo yanafanyika katika viwanja vya Ali Hassan Mwinyi mkoani Tabora
Kulia ni mratibu wa mawasiliano wa shirika la EGPAF,Mercy Nyanda akitoa maelezo kwa wageni walitembelea banda hilo jana
Wakuu wa wilaya kutoka mkoa wa Kagera pia walitembelea banda la EGPAF
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundeblog@gmail.com
🚧🚦 Usiendeshe gari lako bila Mafunzo na Leseni halali_ 📲 Wasiliana nasi sasa: wa.me/255740273285 Unahitaji nini? 🚘 Unataka kujifunza udereva wa magari na kupata Cheti? 📄 Una cheti unataka kupata Leseni? 🔄 Unajua kuendesha lakini huna cheti wala leseni na unataka refresh upate cheti? 🛣️ Una nyaraka zote muhimu lakini unahitaji kujifua zaidi barabarani? ✅ Una Leseni bila cheti na unataka renew? 🌍 Tupo mikoa yote Tanzania hadi vijijini! 📞 Tupigie sasa: 0769 763 285
Social Plugin