Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

TAZAMA PICHA_FISI ALIYEZUA BALAA MJINI SINGIDA

  Fisi aliyevamia mji wa Singida na kusababisha hofu kubwa kwa wananchi akiwa kwenye gari la polisi baada ya kuuawa


DSC01596
Baadhi ya askari polisi wakishiriki kumtoa Fisi ambaye alikuwa amejificha ndani ya duka la mitumba mjini Singida.
DSC01597
Baadhi ya wananchi wa mji wa Singida wakishuhudia kutolewa nje Fisi aliyekuwa amejificha ndani ya duka la mitumba mjini Singida.
DSC01600
Badhi ya wananchi wa mji wa Singida,wakishiriki kumuuawa Fisi aliyevamia mji wa Singida na kusababisha hofu kubwa kwa wakazi.
DSC01604
Fisi aliyevamia Singida mjini, akiwa kwenye gari la polisi baada ya kushambuliwa na wananchi kwa silaha za jadi.(Picha na Nathaniel Limu).

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundeblog@gmail.com