Hatimae hofu ya Mlipuko kwa wakazi wa wilaya ya Ngara imeondoka!
Ni kufuatia Wataalamu wa miripuko kutoka Brigade ya Tabora TPDF wamebaini kuwa Kitu kilichodondoka katika ardhi ya Kijiji cha Ruganzo kata ya Kibimba wilayani humo siyo bomu bali ni Satelite.
SIKU KILIPODONDOKA HOFU IKATANDA
Muonekano wa kitu kilichodhaniwa kuwa ni bomu |
Kikiwa na alama ya Kuungua |
ni kama kimeungua |
Walio kishuhudia,inasemekana kilikuwa na utambu uliokuwa ukiwaka |
Kimefunikwa kwa kamba za plastic ngumu |
Ni vigumu kukitambua |
kwa ndani kina umbo la pipa,kina mfuniko mfumu na Shafti kwa ndani |
Wananchi wakifika eneo la tukio kukishuhudia |
Kinavyoonekana kwa juu |
sehemu ya kitu hicho iko ardhini na nyingine juu |
SOURCE:Ngarakwetu blog