Thursday, May 18, 2017

WAZIRI MWIGULU : TUMEAMUA MAJERUHI,MAHUTUTI ASIYEWEZA KUTOROKA WAPEWE MATIBABU KWANZA BILA PF3

Waziri wa mambo ya ndani ya nchi, Mwigulu Lameck Nchemba amesema kuanzia sasa mtu yoyote atayeweza kupata majeraha yasiyokuwa na utata wapewe matibabu kwanza hospitali bila ya kuwa na kibali kutoka kwa Jeshi la Polisi (PF3) kama ilivyozoeleka.
Share:

New Video : MAMA USHAURI- NANI KAMA MAMA? - DEMO


Ninacho kipande kidogo cha video ya wimbo mpya wa msanii wa nyimbo za asili Mama Ushauri kutoka Tinde - Shinyanga inaitwa "Nani kama mama ?"
Share:

NAFASI YA KAZI YA MKURUGENZI WA KITUO CHA HUDUMA YA MTOTO - KKKT-DKMZV / COMPASSION


Uongozi wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania Dayosisi Kusini Mashariki ya Ziwa Victoria (KKKT-DKMZV) Usharika wa Ebenezer Kanisa Kuu Shinyanga kwa Ushirika wenza na Compassion International Tanzania (CIT) unatangaza nafasi moja ya kazi kama kiambatanisho kinavyoeleza. 
Share:

KIONGOZI MWINGINE WA CCM AUAWA KWA KUPIGWA RISASI KIBITI

Mwenyekiti wa CCM tawi la Njia nne Iddy Kirungi liliopo katika kijiji cha Muyuyu kata ya Mtunda wilayani Kibiti ameuawa kwa kupigwa risasi akiwa kwake.
Share:

WANAFUNZI WALIONUSURIKA KIFO AJALI YA GARI ARUSHA WAFANYIWA UPASUAJI MAREKANI

Watoto watatu wa shule ya msingi ya Lucky Vicent walionusurika katika ajali ya basi, wamefanyiwa upasuaji na sasa wapo wodini wakiendelea na mazoeazi, ila Doreen, jana alipewa MAPUMZIKO maalumu akiwa anaandaliwa tayari kwa UPASUAJI wa uti wa mgongo 'spine' unaofanyika leo.
Share:

MAAMUZI YA RAIS MAGUFULI KUHUSU WATANGAZAJI 9 WA TBC WALIORUSHA HABARI YA UONGO KUWA KAPONGEZWA NA TRUMP

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli amewasamehe wafanyakazi tisa wa Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC) waliokuwa wamesimamishwa kazi kwa kosa la kurusha habari ya uongo kumhusu kiongozi huyo wa nchi.
Share:

WAANDISHI WA HABARI 10 WAKAMATWA NA POLISI ARUSHA, MEYA WA JIJI NAYE YUPO CHINI YA ULINZI


NB-picha kutoka maktaba siyo ya waandishi waliokamatwaHabari zilizotufikia hivi punde kutoka mkoani Arusha ni kwamba waandishi wa habari 9 wamekamatwa na polisi wakati wakitekeleza majukumu yao.
Share:

RAIS MAGUFULI AFANYA UTEUZI MWINGINE

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Bw. Geoffrey Idelphonce Mwambe kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC).
Share:

APPLICATION FOR APPOINTMENT TO REGIONAL CONSUMER COMMITTEES OF THE EWURA CCC


APPLICATION FOR APPOINTMENT TO REGIONAL CONSUMER COMMITTEES OF THE EWURA CCC


Functions and Powers of EWURA CCC
Share:

NCHI 7 ZENYE MASHARTI YA AJABU UKITAKA KUOA...IMO KUMTEKA MSICHANA, KUNG'ATWA NA SIAFU DAKIKA 20


Moja ya stori ambazo sikuwahi kufahamu ni juu ya hizi sheria za jamii mbalimbali duniani ambazo zinaweza kushtua kushangaza wengi wanaozisikia, kuzisoma ambapo kwa wale waliobahatika kuzitembelea sehemu hizi, basi ni mashuhuda.
Share:

KUTANA NA ABLE WA MICHORO KWA HUDUMA SAFI NA BORA YA UCHORAJI

Share:

HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO ALHAMIS MAY 18, 2017 - NDANI NA NJE YA TANZANIA


Magazetini leo Alhamis May 18, 2017- Ndani na nje ya Tanzania
Share:

Tafuta Habari Hapa

Subscribe You Tube Channel Yetu

 Bofya Hapa

Pakua Videozetu App

Kutana Able wa Michoro

Manju Matemba - Beni

Manju Polosho Myogela

Habari Kuu

TAZAMA HAPA VIDEO 100 ZA NGOMA ZA ASILI ...ANGALIA KAMA UTAONA KABILA LAKO

Habari za leo mpenzi msomaji wa Malunde1 blog hususani wewe mfuatiliaji wa nyimbo za asili..Leo nimeamua kukuletea  nyimbo zaidi ya 100 za ...

Classic Visual Shinyanga

Habari Gumzo Mtandaoni

Mshana Computer Solution

Habari Zilizopita

Jiunge Nasi Hapa

Translate This Blog

Copyright © MALUNDE 1 BLOG | Powered by Malunde