Ngoma mpya ya Kisukuma : KEMA HEWA - BHAFUMU


Kama kawaida ya Malunde1 blog kukusogeza karibu na wasanii wa nyimbo za asili,leo nakukutanisha na msanii Kema Hewa kutoka Kahama mkoani Shinyanga katika wimbo wake mpya unaitwa Bhafumu,uliotengenezwa katika studio za Bhujiku Faster "Bfaster" zilizopo mjini Bariadi mkoani Simiyu.
Wasiliana na Kema Hewa kwa simu 0685190850

Sikiliza hapa chini ngoma hii kali ya Kisukuma

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527