SABABU ZA MBUNGE WA CHADEMA DKT GODWIN MOLLEL KUTANGAZA KUHAMIA CCM



Mbunge wa jimbo la Siha mkoani Kilimanjaro kupitia chama cha demokraisia na Maendeleo Chadema Dkt Godwin Oloyce Mollel ametangaza kujivua uanachama wa chama hicho.


“Nimeona nia ya dhati ya Serikali CCM kutetea rasilimali za Taifa, nikaona niweze kujiuzulu nafasi yangu ya ubunge ili niweze kwenda kujiunga kwa vitendo katika kulinda rasilimali za Taifa letu, aminini watu wangu wa Siha nimeona mbali katika maamuzi haya, wana CCM napendekeza na nyie mnipokee,” – Dkt Godwin Mollel

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527