Ngoma Mpya : KEMA HEWA - NG'WANIKE VERO...MDUNDO WA KISUKUMA


Nakualika kusikiliza wimbo mpya wa msanii wa nyimbo za asili Kema Hewa kutoka wilayani Kahama mkoani Shinyanga inaitwa Ng'wanike Vero. Wimbo huu umetengezwa katika studio za Bhujiku 'Bfaster studios' za mjini Bariadi mkoani Simiyu.

Wasiliana na Kema Hewa kwa simu namba 0685190850
Bonyeza hapa kusikiliza 

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527