MLOLWA NDIYO MWENYEKITI MPYA CCM MKOA WA SHINYANGA..AULA KWA KURA NONO


Matokeo ya uchaguzi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Shinyanga uliofanyika leo Jumanne Disemba 5,2017 katika uwanja wa CCM Kambarage Mjini Shinyanga.

Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Shinyanga



Mabala Mlolwa -702

John Festo Makune - 35
Colonel Ngudungi - 02

Mjumbe wa Halmashauri kuu CCM taifa 

 Gaspar Kileo - 702
Bernad Shigela - 33
Joyce Masunga-02

Msimamizi wa uchaguzi Naibu Katibu Mkuu Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar Abdallah Juma Magodi
Mabala Mlolwa

Gaspar Kileo

Wajumbe wakipiga kura

Upigaji kura ukiendelea
Mbwembwe wakati wa uchaguzi





Picha zote na Anthony Solo - Malunde1 blog

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527