Video Mpya: NYANDA MADIRISHA WABHADO 'Maliganya' - YAMUWELELO


Ninayo hapa video mpya ya Msanii wa Nyimbo za Asili Nyanda Madirisha Wabhado "Nyanda Maliganya' inaitwa Yamuwelelo. huyu pia ni mdogo wake na marehemu Msanii Nyanda Madirisha 'The Super Star' aliyefariki dunia mwaka 2016 wakati akijiandaa kufanya show mkoani Simiyu.

Baada ya kifo cha Nyanda Madirisha  ,wadogo zake ambao ni Nyanda Maliganya na Nyanda Nchaina waliamua kurithi mitindo ya uimbaji wa kaka yao Nyanda Madirisha.
Tazama hapa chini Video hii ya Nyanda Maliganya 'Nyanda Madirisha Wabhado' inaitwa Yamuwelelo

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527