Picha & Video : SHOW YA GWIJI WA NYIMBO ZA ASILI BHUDAGALA MWANAMALONJA LEO SHINYANGA VIJIJINI


Msanii wa nguli wa nyimbo za asili Afrika Mashariki na Kati Bhudagala Mwanamalonja kutoka Serengeti mkoani Mara anayeimba kwa lugha ya Kisukuma leo Jumamosi Julai 1,2017 amefanya show babu kubwa katika uwanja wa ngoma kijiji cha Mwakitolyo Shinyanga Vijijini.Nimekuwekea hapa baadhi ya picha,ni balaa mtupu maelfu wajitokeza kupata burudani ya asili.
Bhudagala Mwanamalonja akiimba
Maelfu ya wakazi wa Shinyanga wakishuhudia burudani

Wananchi wakiwa eneo la burudani


Bhudagala Mwanamalonja akipiga picha na mashabiki wake


TAZAMA HAPA VIDEO MASHABIKI WA BHUDAGALA WAKIGOMBANIA KUPIGA NAYE PICHA


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527