HII HAPA ORODHA YA WAGOMBEA UONGOZI TFF WALIOCHUJWA...MALINZI KAONDOLEWA


Jumamosi ya July 8 2017 kamati ya uchaguzi ya shirikisho la soka Tanzania TFF ilikutana kwa mara ya kwanza baada ya kuvunjwa na kuundwa upya na kikao cha kamati ya utendaji ya TFF.


Baada ya kikao kumalizika na kufanya usahili wa wagombea wa nafasi zote na kuchuja, orodha ya wagombea waliyochujwa nafasi ya Urais ni pamoja na Rais wa sasa wa TFF Jamal Malinzi ambaye ameondolewa kwa sababu yuko Rumande

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527