Video : MAMA USHAURI 'NG'OMBE BHULAYA'- SUMBHILI

TANGAZA BIASHARA,HABARI,KAZI,MATUKIO YAKO KUPITIA MALUNDE 1 BLOG,TUPIGIE SIMU 0757 478 553 AU 0625 918 527


Mpenzi msomaji wa Malunde1 blog hususani wewe mshabiki wa nyimbo za asili,ninafuraha kubwa kukuletea video mpya  inaitwa 'Sumbhili' kutoka kwa Msanii machachari wa nyimbo za Asili Mama Ushauri maarufu 'Ng'ombe Bhulaya' kutoka Tinde mkoani Shinyanga.


Video hii ya 'Sumbhili',ina vionjo vyote vya asili,imetengenezwa Bicon studio za Kahama Mjini mkoani Shinyanga.

Wimbo Sumbhili ni miongoni mwa nyimbo zilizopo katika Albam mpya ya Mama Ushauri 2017 ,'Barcelona' ambayo ina nyimbo 7.

Itazame hapa chini video hii kali ya asili kutoka kwa Mama Ushauri anayepatikana kwa simu 0766268739
Theme images by rion819. Powered by Blogger.