Video: 'NG'WANA KANG'WA' - LHUGENDO

TANGAZA BIASHARA,HABARI,KAZI,MATUKIO YAKO KUPITIA MALUNDE 1 BLOG,TUPIGIE SIMU 0757 478 553 AU 0625 918 527Habari za leo msomaji wa Malunde1 blog hususani wewe mpenzi wa nyimbo za asili.Kila weekend Malunde1 blog ina utamaduni wa kukusogeza karibu na wasanii wa nyimbo za asili.Leo tunakukutanisha na Msanii Ng'wana Kang'wa kutoka Kahama mkoani Shinyanga.
Ametualika kutazama ngoma yake mpya inaitwa "Lhugendo" Lhugendo ni neno la Kisukuma linalomaanisha "Safari".Director wa video hii kali na iliyo katika ubora wa hali ya juu ni Milos anayepatikana kwa simu namba 0765043996..


Tazama video hii hapa chini
Theme images by rion819. Powered by Blogger.